Labda mna mahakama za kusuluhisha ndoa za mashoga maana ni ruksa hata Italy Buchanan
Acha kukurupuka. Uliza ueleweshwe. Biblia iko wazi. Walawiti sehemu yao ni ziwa la moto. Hakuna Mkristo wa dhati aliye shoga. Hao ni makristo wa uongo ambo vilevile ni wakristo wa majina. Kwa hiyo ushoga ni roho ya kuzimu na hina dini. Wako wenye majina ya Kiislamu ambao ni walawiti kama ambavyo wako majina ya Kikristo lakini ni walawiti.
Last edited by a moderator: