Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,099
Tatizo ni watu kusomea mitihani badala ya kupata maarifa
Jamani jamani
nashangaa sana hawa wenzetu waliofanikiwa kufika vyuo vikuu wanavyo ishi maisha mabovu,mimi sikufanikiwa kufika chuo kikuu niliishia huku chini,nilifikiri waliofanikiwa kufika huko juu mambo yao yatakuwa shwaaari!kumbe hakuna kitu mambo ni ovyo tu yaani mara nyingine najiuliza kulikuwa na haja gani ya wao kulazimisha kwenda chuo kikuu??jamaa wanatembea town na mavyeti yao mpaka yanapauka eti wanatafuta kazi,jamani!mimi nilikuwa najilaumu kwa nini sikwenda chuo kikuu nionekane msomi kama wao kumbe nilifanya uamuzi wa busara bwana,jamaa zangu karibu wote waliokwenda mlimani mwanzoni wa miaka ya 2000 wapo wanasota mitaani na vibarua vya temporary,kibarua kikiisha anakuja kijiweni eti tumpige tough kwa sababu anatafuta kazi nyingine mara ana project anataka kuanzisha,kumbe wao wanafikiri tofauti na sisi,badala ya kwenda pale songea au tunduma na kuanzisha kibiashara kwa kutumia elimu yao waliyopata wanakaa vijiweni na kumba vihela kwa jamaa zao,kumbe hakuna haja ya kwenda chuo kikuu
Teh teh te te! Mdau i thought I should tell him simply but strongly........ nipo mdau nimeona nikimbizane tu na vyekundu vilivyo karibu na wanaomaliza rasilimali. Ntashangaa shangaa mara ukute wamemaliza wee umekodoa mijicho tu!duh mkuu umekanyaga kwa hasira kweli. btw mbona umepotea sana?
umewahi sikia profesa ni bilionea katika ulimwengu huu?
Elimu utakuwa nayo lakini huwezi kuwa sawa na wa level ya Degree, ni vizuri kujiendeleza ukipata fursa
Jamani jamani
nashangaa sana hawa wenzetu waliofanikiwa kufika vyuo vikuu wanavyo ishi maisha mabovu,mimi sikufanikiwa kufika chuo kikuu niliishia huku chini,nilifikiri waliofanikiwa kufika huko juu mambo yao yatakuwa shwaaari!kumbe hakuna kitu mambo ni ovyo tu yaani mara nyingine najiuliza kulikuwa na haja gani ya wao kulazimisha kwenda chuo kikuu??jamaa wanatembea town na mavyeti yao mpaka yanapauka eti wanatafuta kazi,jamani!mimi nilikuwa najilaumu kwa nini sikwenda chuo kikuu nionekane msomi kama wao kumbe nilifanya uamuzi wa busara bwana,jamaa zangu karibu wote waliokwenda mlimani mwanzoni wa miaka ya 2000 wapo wanasota mitaani na vibarua vya temporary,kibarua kikiisha anakuja kijiweni eti tumpige tough kwa sababu anatafuta kazi nyingine mara ana project anataka kuanzisha,kumbe wao wanafikiri tofauti na sisi,badala ya kwenda pale songea au tunduma na kuanzisha kibiashara kwa kutumia elimu yao waliyopata wanakaa vijiweni na kumba vihela kwa jamaa zao,kumbe hakuna haja ya kwenda chuo kikuu
soma wewe ujue ata umuhimu wa paragraph ukiandika.
hapo kwenye red??? wao hawakulazimisha kwenda bali wewe ulilazimisha kwenda lakini ukashindwa. kwenda chuo kikuu hawalazimishi....sio elimu ya msingi au awali ile mkuu.ivi tangu 2000 mpaka leo unakumbukia? inaelekea uliumia sanaJamani jamani
nashangaa sana hawa wenzetu waliofanikiwa kufika vyuo vikuu wanavyo ishi maisha mabovu,mimi sikufanikiwa kufika chuo kikuu niliishia huku chini,nilifikiri waliofanikiwa kufika huko juu mambo yao yatakuwa shwaaari!kumbe hakuna kitu mambo ni ovyo tu yaani mara nyingine najiuliza kulikuwa na haja gani ya wao kulazimisha kwenda chuo kikuu??jamaa wanatembea town na mavyeti yao mpaka yanapauka eti wanatafuta kazi,jamani!mimi nilikuwa najilaumu kwa nini sikwenda chuo kikuu nionekane msomi kama wao kumbe nilifanya uamuzi wa busara bwana,jamaa zangu karibu wote waliokwenda mlimani mwanzoni wa miaka ya 2000 wapo wanasota mitaani na vibarua vya temporary,kibarua kikiisha anakuja kijiweni eti tumpige tough kwa sababu anatafuta kazi nyingine mara ana project anataka kuanzisha,kumbe wao wanafikiri tofauti na sisi,badala ya kwenda pale songea au tunduma na kuanzisha kibiashara kwa kutumia elimu yao waliyopata wanakaa vijiweni na kumba vihela kwa jamaa zao,kumbe hakuna haja ya kwenda chuo kikuu
wamefanyaje tenami-prochadema ndivo ilivo..
wamefanyaje tena