MACHIMBONI: Sitosahau nilivyonusurika kufa

PharaohMtakatifu

JF-Expert Member
Jul 3, 2023
659
1,074
Wanaume hatuchagui kazi. Heshima kubwa sana kwenu

Ni sitory ndefu nitafupisha.

Mnano mwaka 2019 Baada ya kazi za hapa na pale hasa kazi yangu pendwa ya kilimo Cha umwagiliaji (bustani) kukumbwa na ukame na kufanya mazao yangu hasa nyanya zaidi ya heka Moja kuharibika ikabidi nimcheki jamaa yangu Ambae ni mtoto wa shangazi yangu. Jamaa huyu ni mtu wa chimbo sana tukawasiliana vyema akanipa location kuwa yupo no2 karibu kabisa na mgodi wa Bulyanhulu (kakola) mwanaume nikajitosa kwenda akanipokea pale kakola stend.

Tukaenda Moja Kwa Moja bar Moja ilikuwa inaitwa Half London tukafanya unyama mwingi sana japo Mimi Si mtu wa maji sana tumetoka eneo Hilo sa7 usiku kuelekea site sio mbali sana mwendo kama wa dk10-15 Kwa pikipiki.

Baada ya kufika tukalala kambini hapo kusema kweli nilipokelewa vyema sana pale na wachama wenzake {Mchama manake watu walio anzisha Ile duara /shimo}

Kesho yake tukaenda site kabisa duarani mwenyeji wangu amabe ni binamu yangu akanitamburisha Kwa wenzake na kusema nitatoa kiingilio niwe Mchama kama wao yaani nisiwe naingia shimon au kutoa mawe Mimi niwe nasubiria gawio tu wanaochimba chini wengine na wanatoa toa wengine (kuzungusha kamba ya mawe au kunyonga "Rola")

Nikakubaliwa na kutoa kitita cha 600k kama kiingilio kazi ikaanza rasmi!.

Tukapiga job Mimi nikiwa nawasaidia wale wanaotoa mawe chini Kwa kutumia Ile kamba pichani
Maana wale hulipwa day to night inategemea na makubaliano mara nyingi Kwa siku walikuwa wanalipwaTsh7000.

Kesho yake nikaona isiwe tabu niingie chini namimi nikapige huko licha ya kuwa nchama nikaona si vibaya kuwapa kampan Wana. Nikashuka vizr tu Hadi chini Kwa kutumia kamba Hadi nikawakuta jamaa zetu wa4 nikawapa hi tukapiga story muda huo gunia la kubebea mawe likiwa juu (surface).

Nilkuwa na uzoefu wa Kiaina maana hata nyangalata niliwahi kwenda pale japo kazi kubwa nilikuwa na supply mchele kuutoa kahama kijijn nakoboa Hadi hapo nyangalata mwaka2012-2013.

Baada ya kukaa chini dk 39 hiv nikaanza kupanda Ili nitoke ile napanda Kwa kutumia matimba (Kingo za duara zinazo imarishwa na miti migumu Kila upande Angalia picha hapo chini miti hiyo ndo matimba sijui maeneo mengine wanaitaje).

Ile napanda nikasikia sauti ya lile roba au gunia likishuka Kwa kasi sana basi likanifikia na kunipitia mpaka chini (kumbka lile gunia Lina maji na mchanga ule mawe hivo ni zito pia) wanatumia magunia yale ya kamba za mkonge hivyo lilikuwa zito sana nilienda Hadi chini nikaanguka vibaya sana japo sikupata majeraha makubwa sana na fahamu sikupoteza. Ile nashuka niliona kifo kipo mlangoni kabisa kabisa na kipindi naanguka yule jamaa mmoja wa chini Ambae alikuwa hajajiweka vizr akijua ni gunia tu linashuka ndo ulikuwa msaada wangu mkubwa sana maana nilimwangukia yeye sehem ya kichwa changu..nilisikia maumivu sna na mwili ukawa Hauna nguvu Tena.

Kuna ishara fln Huwa wanatoa watu wa chini kama Kuna mtu anaitaji huduma ya chapu Huwa wanatikisa kamba hivyo jamaa akatoa then akapanda Hadi juu akiniacha na wezangu3 alipofika wakashusha gunia jamaa mmoja tukapandishwa nae Hadi juu.

Baada ya kufika taratibu za huduma ya kwanza zikaanza japo jamaa yangu muda huo hakuwepo alikuwa ametoka niliwakataza wasiwaambie watu wa nyumbani labda Hali ibadirike kabisa maana nilkuwa sijaaga mtu.

Matibabu nilipatiwa siku2 ya tatu nikajiona nipo good nikaaga kwanza jamaa bila hila akanitoa Tena 200k nikarudi home japo nilikuwa sijaimarika sana baada ya kufika home maumiv nilikuwa najisikia Bado hivo niliwambia wazazi kuwa Nina homa nikificha maana mzee alikuwa hataki kusikia issue za migodi midogo midogo hii.

Baada ya kuimarika kiafya Sasa nikamwelezea mama A to Z akaniambia niende Kwa mtaalamu kucheki japo sikuwa muumini sana nikamshirikisha yule jamaa yng akasema usiende nikawaida tu ajari kutokea hivo nikapuzia sikwenda

Jamaa akawa ananiambia Ile mifuko wamegawana Kila mmoja yke wapo walio saga mawe wakapata m9 wengine wameuza mifuko kama mifuko wakapata 4-6milioni nilitaman sana kurudi Tena kwenye chimbo Hilo ila nikikumbka ule mkasa naona Giza mbele nikarudi Kwa mama Tena kumwambia akasema nenda Kwa bibi yako ikabidi nitii. Safari Hadi Kwa bibi nikafika nikaeleza then tukahitimisha Kwa kumpigia simu mama. Haikuchukua muda akaitwa mjomba hao Hadi Kwa sangoma!

Huwezi amini jamaa aliniambia safari yangu ilivokuwa na vile nilivo pokelewa na jamaa tukanywa then tukaenda site kumbe jamaa yng alikuwa na lake jambo kuwa kama ningekuwa wangepa Hela za kutosha na duara Yao kuwaka sana akahitimisha kusema ukienda awamu hii hurudi mzima maana Tyr wameshajua walifeli wapi na usipoenda Kwa wiki2 Ile duara Ina buma na wataikimbia wenyewe.

Sikuamin nilichoambiwa Kwa ushirikiano wa jamaa kwangu ulikuwa mkubwa sana hivo ilibidi nimtii sangoma na kurudi pesa tuliyo toa pale ni buku2.

Nikrudi Hadi Kwa wazee nikakuta baba kaelezwa na mama asee mzee aliwaka sana Ile mbaya akasema jtano peleka ng'ombe3 mnadani uanze biashara yako Tena.

Picha ya kwanza ndo Mimi nimefika duarani ya pili ni jamaa yangu/ binamu yangu. Usimwamini ndg Yako kwenye masuala ya Mali wengi wamejaa tamaa na uchu wa Mali kukupoteza ni kawaida tu.

Heshima Kwa mama yangu.

The End.

FB_IMG_1700491685308_1.jpg
FB_IMG_1700491690907_1.jpg
 
View attachment 2820086View attachment 2820087
Daa deki umenikumbusha mbali sana siku ya kwanza nafika mgodini nikapangwa kupiga rola usiku kucha aloo maumivu yake hayaelezeki
 
Huko kwenye shimo huwa wanapandisha mchanga bila tahadhari? I mean wakati wanavuta kiroba chenye mchanga kutoka chini kwenda juu, wale watu walioko chini hawana namna wanakaa ili hata kirobo kikinyofoka na kuanguka kisiangukie mtu moja kwa moja?
Mkuu duara Zina tofautiana Moja Hadi nyingine Kuna sehem kabisa ya kama ka chumba fln kadogo ni ngumu kuelewa kama hujaingia duarani hako ndo Huwa Wana kaa Wakati gunia linashuka na Huwa linakuja likigonga side Hadi side Kwa kasi so mara nyingi hukaa hivo. But Kuna wengine wabishi tu anakaa pembeni kidogo na ndicho kilichotokea Kwa jamaa huenda tu ilikuwa hivo Ili nipone ..kumbuka unaposhuka huendi direct unaenda unajipigiza kwenye Kuta za shimo (kugologosha) ni ngumu kuelezea mtu asiyewahi kushuka humu ila Kwa taswira ndo hivo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom