The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 8,445
- 27,653
Siijui situation ya mkeo hapo home but kama mna watoto zaidi ya wawili wala usilalamike,kukimbizana na watoto mara kuwaandaa shule asubuhi (kama mama wa nyumbani) aanze kuandaa chakula cha mchana hajafua nguo zao hajafua nguo zako hajafua nguo zake hajasafisha nyumba mambo ni mengi sana kwa hawa kina mama.
Ishi nae kwa timing,mfano ijumaa kuamkia jumamosi na jumapili anakuwa free piga mambo shule zikifungwa ndiyo oya oya.uchovu unamkata mwanamke stim uishi nae ukiwa unaelewa hili hatutegemei awe active kama mlivyokuwa wachumba wakati alipokuwa akija kwako anakaa anaangalia movie kutwa nzima leo anashindia kazi anaamkia kazi haya ni mazingira mawili tofauti.