Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,214
- 80,147
😹😹😹Kuna muda nikikumbuka nilikuwa nakoswa raha ndani ya ndoa yangu, hata usinikumbushe ni heri niko mbali na familia , wakati mwingine nakaa mpaka miezi saba bila kuiona familia yangu, Nikikumbuka niliyokuwa napitia huku nikinyimwa unyumba basi najichukia , ila namshukuru Mungu kwakunipatia kazi hii na mpaka sasa naishi vzr mbali na familia
Kuna muda unahamu yakufanya tendo na mkeo lakini kwa sababu zake binafsi unanyimwa unyumba mpaka asubuhi na bado haumwi , kazi nikukoroma tu kwenye nyumba yako.
Nacheka kama mazuri vile.