Kumbe baada ya ndoa mambo ndo yanabadilika hivi?

Nakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.

Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa nakua kama nasusiwa hivi yaani no ushirikiano kama mwanzo.

Baadhi wa wanawake nini kinawabadilisheni na kuwapa kiburi baada ya kuingia ndani ya ndoa?
Pole Sana na jiongeze Sana.. Ameshakuchoka na hana hisia tena na wewe
 
Nakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.

Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa nakua kama nasusiwa hivi yaani no ushirikiano kama mwanzo.

Baadhi wa wanawake nini kinawabadilisheni na kuwapa kiburi baada ya kuingia ndani ya ndoa?
Udhalilishe kiswahili uchumba maana yake ni watu walokubaliana kuoana na hakunaga tendo la uchumba

Kama ulifanya tendo la ndoa na uko kwenye uchumba na siyo ndoa maana yake mlikuwa mnafanya zinaa usiseme tendo la ndoa sema NGONO

MLIKUWA MKIPEANA NGONO VYOVYOTE

SASA NDOA SIYO NGONO NI tendo la ndoa

Maana yake ikiwa ndoa haipo vzr hakuna tendo la ndoa hapo tendo la ndoa maana yake muwe wote vzr kindoa

Unashangaa kwa kuwa ulianza na uzinzi
 
Kwenye tendo wanawake wanajisahau
 
Uelewi kitu
 
Uchumba ilikuwa ni kampeni mkuu, ndoa ni uchaguzi hivyo vumilia kwa sasa.
 
Kuna muda nikikumbuka nilikuwa nakoswa raha ndani ya ndoa yangu, hata usinikumbushe ni heri niko mbali na familia , wakati mwingine nakaa mpaka miezi saba bila kuiona familia yangu, Nikikumbuka niliyokuwa napitia huku nikinyimwa unyumba basi najichukia , ila namshukuru Mungu kwakunipatia kazi hii na mpaka sasa naishi vzr mbali na familia

Kuna muda unahamu yakufanya tendo na mkeo lakini kwa sababu zake binafsi unanyimwa unyumba mpaka asubuhi na bado haumwi , kazi nikukoroma tu kwenye nyumba yako.
 
Nani aliekwambia umuoe huyo mwanamke mwenye mumewe huko nje? Wewe umemuoa km ushahidi tu mumewe anaemsuuza yupo nje huko tena upo mbali jamaa anajipigia tu anavyotaka
 
Ndio maana unatakiwa kuwa na mchepuko. Ukitoka kazini unapita kwa mchepuko unapunguza mzigo, ukifika home mke akupe asikupe we uko vizuri. Kazi yako inakua ni kukoroma tu mke akitaka ndio akusumbue.
 
Nakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.

Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa nakua kama nasusiwa hivi yaani no ushirikiano kama mwanzo.

Baadhi wa wanawake nini kinawabadilisheni na kuwapa kiburi baada ya kuingia ndani ya ndoa?
Haichukui nafasi ya daktari ila inaweza kukupa wazo lililo bora.
 
Nakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.

Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa nakua kama nasusiwa hivi yaani no ushirikiano kama mwanzo.

Baadhi wa wanawake nini kinawabadilisheni na kuwapa kiburi baada ya kuingia ndani ya ndoa?
Anaona Sasa kakumiliki JUMLA,huna pa kukimbilia ni mali yake!
 
Nani aliekwambia umuoe huyo mwanamke mwenye mumewe huko nje? Wewe umemuoa km ushahidi tu mumewe anaemsuuza yupo nje huko tena upo mbali jamaa anajipigia tu anavyotaka
Kwa sasa nalea watoto wangu hata kama sipo nao najitaidi wapate mahitaji yote.
Yeye achepuke asichepuke hilo ni lake najua naishi nikiishilizia
 
Back
Top Bottom