Divine...
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 1,615
- 3,117
Mbingu inaweza fungwa pia .kwa mbingu sina uhakika maana ardhi ni yetu ila mbingu sidhani kama wanaweza kuifunga
Kila mtu ana mbingu yake; ya kimafanikio.
Mbingu yaweza fungwa; sababu ardhi na mbingu zinafanya kaz pamoja.
Ndio maana ktk kuomba lazima Mungu atupe Malaika Mikael apigane na huyo mkuu wa anga ili malaika Gabriel apite atuletee majibu.
Rejea Daniel wakat anaomba.
So tukiomba lazima tujue tunaombaje hapa juu ya ardhi na mbingu.