X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,399
- 14,313
Ardhi inasemeshwa na inaelewa na inafanya kile ambacho imeambiwa najua huwezi amini hili ninalo kuambia ila ni rahisi sana kuamini kuwa kuna jamii fulani wao hawazai kabisa, kunajamii wao maendeleo wanayasikia kwa wenzao, kunajamii wao kila wakibeba Mimba hazikai lazima zitaalibika, kuna jamii wao muda wote wanasumbuliwa na magonjwa, kuna jamii nyingine zinaandamwa sana na misiba kumbe wachawi wameisemesha ardhi hiyo na kila atakae kanyaga hapo lazima matatizo hayo yamkumbe...
Kikubwa kinachofanyika mchawi anakuja kwenye eneo lako anachuka ardhi ya hapo kwako anachanganya na mchanga wa eneo ulilokanya kisha mchawi anaongea na kuiamrisha ardhi kuwa upatwe na madhara wewe na kila atakae kaa eneo hilo. Ndio maana kuna baadhi ya nyumba leo hii kila ukienda kulala utaota ndoto mbaya za kutisha na kesho ukiamka utakuwa mgonjwa watu wote watashangaa maana jana ulikuwa mzima. Ardhi inamezeshwa mambo mengi sana maadui wanaitumia hii ardhi wanaiamrisha na inawatii. Mchawi anaweza akaiamrisha ardhi ya eneo unalotaka kujenga ukajenga nyumba ukashindwa kuimalizia kuna majumba mabovu mengi wenyewe wanauwezo mkubwa chaajabu hawaziendeleze hizo nyumba tatizo si hao watu bali ardhi ya pale ilichotwa ikaambiwa isifanye jambo lolote la maendeleo...
Fikiria leo kila panapotokea ugomvi labda wanagombea ardhi lazima mmoja atakufa tuu leo hii ukitaka kumshitaki mtu unatakiwa ujipange yeye ndie mkosaji kakuibia pengine, kakuchukulia mke labda lakini anakuwahi anaenda kwenye ardhi anaongea nayo anakuzika kabla hujafa kwakuwa wewe imani yako ni ndogo unajipanga kwenda mahakamani kushitaki kabla hujafika unagongwa na gari unakufa. Leo hii ardhi imeambiwa na wachawi kuna maeneo kila ikifika saa au muda fulani lazima ajari itokee eneo hilo hilo, tatizo sio ubovu wa magari tatizo ni agizo lililotolewa na wachawi juu ya ardhi ya eneo hilo ndo maana ata jinsi ajari za maeneo hayo zinavyotokea hakuna mtu anaeweza kuzizungumzia ata dereva muda mwingine anashindwa kuelewa nini hasa kilimsababishia kupata hiyo ajari.
Mtu anajenga nyumba yake imeisha kabla hajaamia anakufa, mwingine ananunua gari anaenda kulichukua anapata ajali mbaya anakufa, mwingine anafanya mitihani siku anaambiwa amefaulu anakufa,kumbe ardhi iliambiwa kisha akazikwa akiwa hai kisha baadae vitendo hutokea. Makafara ya kichawi yote yanafanyika ardhini na kuzikwa ardhini ardhi inameza mambo mengi mazito {wachawi wanajua}.
Siku ardhi itakapo pasuka mambo mazito mazito yakuogopesha yataonekana
kuna mazindiko na makafara mazito yaliyofanyika yanasumbua jamii hadi leo hii yote ni kwasababu ardhi huifadhi kumbukumbu, ardhi huwa haifuti kumbukumbu labda nguvu za Muumba zitumike kama ni sala watu waombe na kufunga ili kuifanya ardhi isahau kila kilichosemwa na kufukiwa ardhini.
Tunatakiwa tuyafute maneno yote mabaya yaliyotamkwa kwenye ardhi. Juhudi kubwa sana inahitajika ili jambo hilo litimie maana wachawi huwa wapo makini sana kufanya kila wanachokifanya hivyo ukianzisha vita ya kusafisha ardhi hakikisha unakuwa na imani kubwa na imani isiyoteteleka maana siku utakayoteteleka kiimani ndio siku tutakayo kuzika. Kwamaana ukiamua kupambana hakikisha muda wowote unakuwa imara.
eddy_mhando Nasema hivi "nawakusanya na kuwakamata wachawi wote walioko humu JF, nje ya humu popote pale walipo kwenye mitaa yetu, kazini mwetu, mashuleni au vyuoni nguvu za MUNGU ziwatumbukize shimoni wachawi hao na takataka zao zote.Nguvu za MUNGU ziende zikakusanye mizigo yote waliokuwa wametubebesha wachawi hawa waondoke nayo watumbukie nayo ndani ya shimo, waondoke na magonjwa yao, watumbukie shimoni na vifo vyao, watumbukie na mikosi yao, kisha mwenyezi MUNGU aende akawaangamize kwa moto mzito usiozimika" NAUO MOTO USIZIMIKE HADI UMALIZE KAZI
ardhi imewekwa kwa ajili ya baraka.