Kumbe ardhi ina uwezo wa kuhifadhi na kusikia kila inachoambiwa?

kwa mbingu sina uhakika maana ardhi ni yetu ila mbingu sidhani kama wanaweza kuifunga
Mbingu inaweza fungwa pia .

Kila mtu ana mbingu yake; ya kimafanikio.

Mbingu yaweza fungwa; sababu ardhi na mbingu zinafanya kaz pamoja.

Ndio maana ktk kuomba lazima Mungu atupe Malaika Mikael apigane na huyo mkuu wa anga ili malaika Gabriel apite atuletee majibu.

Rejea Daniel wakat anaomba.

So tukiomba lazima tujue tunaombaje hapa juu ya ardhi na mbingu.
 
Amen; ndio maana tuombapo pia lazima tujifunze kutakasa ardhi.

Sababu ardhi ina uwezo wa kudai na kukumiliki na kukufungia ( ardhi inaweza isitoe mazao yake) yaan ardhi haiwez kukupa mafanikio ambayo unayo yataka.

Tukijua vyema kuomba toba na kuitakasa ardhi Hakika Mungu atafungua macho na kusikiliza maombi na kuiponya nchi yetu

Na lazima tujifunze kuisemesha ardhi.

Mungu tufungue macho ya rohoni.
 
Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa Jina langu. Watajinyenyekeza mbele zangu na kuziacha njia zao ovu, na kuniomba. Nitazisikia sauti zao na kuiponya nchi (ardhi) yao. Hivyo precondition ya kuponywa ardhi yako ni kuisikia sauti ya Mungu, kuacha umbea, wivu, hasira, chuki, tamaa, uchoyo, ulevi, uzinzi, ushirikina, wizi, na matendo yote maovu; kujinyenyekeza yaani kuacha majisifu (maana sifa, enzi, nguvu, utukufu ni wa Mungu pekee). Basi Atasikia maombi yako na KUIPONYA ARDHI. No amount of prayer au kukemea au kudecree hakuwezi kuponya ardhi kama hatuziachi njia OVU na hatujishushu.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom