Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,483
- 167,059
- Thread starter
- #21
Weka urogweVilevile hata kuweka taarifa zozote muhimu kwenye akaunti ni hatari kwako na wanaokuzunguka/familia yako.Huwa siweki profile picture wala picha za wanafamilia kwenye akaunti.Watu wengine si wema hata kidogo.