Mmhhh
Hivi hujajua mapenzi ni uchafu??
Kama utajali usafi kwenye mapenzi basi utakosa vingi Lol
hehehehe nimenyosha mikono, ndo maana hutakiwa kuwa na mmoja tu mwenye kupata huo uchafu. Kama ilivyoandikwa 'na hao wawili watakuwa mwili mmoja' full stop.
hii hadithi si uimalizie yote tujue mwisho wake. Wenzako kina Shigongo wanatoa vipande vipande ili mtu anunue toleo la gazeti lijalo, sasa mwanakijiji unaikata kata kama tunalipia lol
Big up Mwanakijiji ...Itabidi uanze kutoa vijarida ..
Duh Mwanakijiji yaani ingekuwa tunalipia kuingia JF ingebidi wakulipe ten percent maana kwa kweli umetushika maana kwa sasa mtu lazima utie mguu JF ....kisa Kumbatio la mwenye Makosa lol mie huwa naprint nadhani baadae nitaibind ukikamilisha mwisho.
Ni nzuri sana, I cant wait for another Sura
Mwanajamii.... utajuaje labda Mwanakijiji anatuonjesha tu hapa ikifika sura ya tano labda atakiweka sokoni... ! Huyu Mzee kasema this time yuko kicommercial zaidi so napata wasiwasi kama atatupatia andiko lote.
Amani.. yaani weekend hii yote nimepata maswali haya ya kulipia hadi nashangaa; kuna jamaa wametaka nisiendelee kutoa ili niwauzie watengeneze filamu hapo Bongo kwa hiyo sehemu za mwisho nizimezee ...
Jamani huyu Mjamaica wa Tina ni kibaka mzoefu yaani hana hata uwoga na wake za watu?? Amezoea huyu kabisa loh sikutegemea kama angecheza rafu siku ya kwanza tena rafu mbaya kama ile hadharani duh. Huyu mzoefu kabisa Mjamaica Mlugulu
Ni kweli FL1 lakini duh nilitegemea angemwambia lakini Tina hebu tutafute faragha kidogo sehemu ah yaani hata wangechukua room fasta fasta lol ..... Ila I like a guy like that mwenye confidance, I just wish angekuwa ndo wake kihalaliMJI nadhani mwana mama alimjengea mazingira ya kumtamanisha..kama mwanamama alikuwa na siku mbili za kujiuliza atoke vip ili akifika kwa Mjamaica isiwe tabu kuvutika ? hawa wanaume ni viumbe dhaifu sana ...
Ni kweli FL1 lakini duh nilitegemea angemwambia lakini Tina hebu tutafute faragha kidogo sehemu ah yaani hata wangechukua room fasta fasta lol ..... Ila I like a guy like that mwenye confidance, I just wish angekuwa ndo wake kihalali