~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,095
Reaction score
43,305
kumbatio.png
photo.php



Baada ya miaka mitatu ya kuwa likizo ya kujitakia kutoka kuandika hadithi za "kusisimua" na kufurahisha za visa mbalimbali vya kimapenzi, vitisho na mapambano ninarudi na kisanga kipya ambacho kinatokea kuelekea Siku Kuu ya Muungano. Ni kisa kinachomhusu Clementina, mke wa Waziri mmoja wa serikali iliyoko madarakani. Ni kisa ambacho kitakujia ndani ya siku tano na ni utangulizi wa kisa changu cha kwanza cha kibiashara (commercial work) ambacho kitapatikana kupitia mtandao huu wa JF peke yake. Shigongo once again has been put on notice!!

NB: Jaribuni kuwaalika watu wengine kusoma hapa ili wajiandikishe JF vile vile, msitume tu kwa watu.. watumieni link.
* * *

 

Attachments

Hapana itaanzia hapa.. ila huko mwishoni itabidi niitafutie mahali...
 
Mkulu MMM kama kawaida yako...yaani sihitaji PhD kujua kwamba kisa kinachokuja ni moto.....kama 'muumini' mzuri wa hadithi zako toka enzi nina weza kuguess so...you go man!
 
Heshima kwako MM

Unajua nilishaacha kusoma hadithi za kiswahili lkn taratibu unanirejesha.
Asante nasubiri j3
.
 
Mwnakijiji tafadhali niko chini ya miguu yako uendeleze kisa hiki hiyo keshokutwa maana kimeninogea tayari.............................nakuaminia
 
Mwnakijiji tafadhali niko chini ya miguu yako uendeleze kisa hiki hiyo keshokutwa maana kimeninogea tayari.............................nakuaminia

JS sehemu ipi imekunogea.
 
Hadi mimi mwenyewe nasisimka imebidi nijipe "vacation" ya ghafla!!!
 
Nimeipenda jazanda yake, inaonyesha kazi nzuri...inanikumbusha jazanda za E.Kezilahabi
 
.........Hadithi inaelekea itakuwa tamu hii, leta uhondo MMK.
 
Back
Top Bottom