🤣🤣Ona huyu sasa, ndio kwanza saa 4
Tutaendela kupanga na hakuna kitu utafanya😀 ukikua utakuja kuelewa endelea kujipangia mambo ya hovyo Mkuu.
Watoto wako watazani mama mwenye nyumba wako ni Bibi yao.
Kuna watu hiyo pesa kwao ni kama wewe unavyoona chumba cha laki au elfu 50Mkuu hapa sio issue ya urefu wa kamba naona ni ulimbukeni tu plus kutokuwa na mipango mizuri.
Tutakuwa tushakufa mkuu,tusifanye mambo mepesi yawe magumu😀 hakika mkuu mimi hakuna kitu nitafanya.
Utafanywa na Dunia siku zako zinahesabika.
Bora umejitambua mapema mkuu wewe kumiliki nyumba zako hapo mjini ni fasta sana .Kuna ndugu yangu alijitutumua na kupanga nyumba ya 1M bahari beach. Nadhani alitaka kumaintain standard kwa sababu nyumbani kwao ni hukohuko.
Asee Madeni yalitaka kumuuwa kuanzia kazini hadi Madeni ya mtaani alikuja fukuzwa kwenye nyumba na hapo anadaiwa kodi ya miezi sita sasa hivi yupo juu ya mawe karudisha mpira kwa kipa.
Mimi siwezi kabisa kujitutumua kwenye vitu ambavyo sina uwezo navyo kufurahisha watu, kodi yangu ya pango ni asilimia 5 tu ya taje home yangu.