Kuliombea mabaya Taifa letu haisaidii Upinzani kukubalika hapa Tanzania

Hakuna anayeliombea taifa mabaya. Hayupo.
Bahati mbaya wewe unaleta siasa na itikadi ktk mipango ya kitaaluma

Mipango yetu ni ya kijima .
Kudhani ukidhibiti taarifa za Corona , basi automatically tutakuwa hatuna Corona !!
Tayari Corona ipo. Tuzuge au tuwe wa kweli ipo !!. Na mtaani imekula vichwa

Odhis *
 
Uingereza imepiga marufuku Watanzania kuingia nchini kwao sababu ya corona, undhani walishauriwa na Lissu au Mbowe? 😫
Akili za "vidudu" hongera zako , wakati wao wana Balozi wao hapa, kuna waingereza kibao wapo wakiendelea na shughuli zao za kiuchumi , mbona wasikimbie kama hali yetu ya corona ni mbaya

Na hapo hapo licha ya wao kutokuja Tz kwenye "Ugonjwa" mbona hao wasio safiri , wapo huko huko kusafi na wenye kuzingatia taratibu hali ni mbaya ??
 
Kuna kasumba mbaya sana imejengeka ndani ya wafuasi na wanachama wa vyama vya upinzani kuwa na akili mbovu ya kuwa wanalitakia mabaya taifa letu, kisa tu wao wamepoteza mvuto wa kisiasa hapa Tanzania.

Ikumbukwe kuwa kama upinzani ungekuwa unakubalika hapa Tanzania na upo ndani ya mioyo ya Watanzania, wananchi wangeikataa serikali ya CCM kwa udi na uvumba maana hakuna mtu ambaye yupo tayari kutawaliwa kwa mabavu na chama asichokitaka.

Kueneza uzushi kuwa kuna maambukizi ya COVID-19, huku mkifurahi utadhani kama huu mlipuko ukitokea hautawagusa ni uzembe wa kufikiri na kufirisika kisiasa. Mmesahau kuwa kete ya kususia bunge kwa minajiri ya kukwepa COVID-19 imesababisha mkakosa wabunge na kuporomoka kisiasa? Mbona hamjifunzi?

Mambo mengi mabaya mnaliombea taifa letu, kisa tu mmeshindwa uchaguzi. Huu ni upumbavu wa kisiasa.

Kwanini msiwe na subira mamlaka husika zikatoa taarifa kuhusu COVID-19? Kuliko kuwa mnazua uongo usio na kichwa wala miguu! Kwa nini msishinikize Serikali kutoa taarifa kamili kama kweli mnania njema na Watanzania.
Hata kasumba ya mkuu wa nchi nayo imechangia kutubadili tabia we rais anasema "NA MTALIMIA MENO " Matajiri wataishi kama mashetani sasa hizi kauli za kuombeana tabu hazifai
 
Kuna kasumba mbaya sana imejengeka ndani ya wafuasi na wanachama wa vyama vya upinzani kuwa na akili mbovu ya kuwa wanalitakia mabaya taifa letu, kisa tu wao wamepoteza mvuto wa kisiasa hapa Tanzania.

Ikumbukwe kuwa kama upinzani ungekuwa unakubalika hapa Tanzania na upo ndani ya mioyo ya Watanzania, wananchi wangeikataa serikali ya CCM kwa udi na uvumba maana hakuna mtu ambaye yupo tayari kutawaliwa kwa mabavu na chama asichokitaka.

Kueneza uzushi kuwa kuna maambukizi ya COVID-19, huku mkifurahi utadhani kama huu mlipuko ukitokea hautawagusa ni uzembe wa kufikiri na kufirisika kisiasa. Mmesahau kuwa kete ya kususia bunge kwa minajiri ya kukwepa COVID-19 imesababisha mkakosa wabunge na kuporomoka kisiasa? Mbona hamjifunzi?

Mambo mengi mabaya mnaliombea taifa letu, kisa tu mmeshindwa uchaguzi. Huu ni upumbavu wa kisiasa.

Kwanini msiwe na subira mamlaka husika zikatoa taarifa kuhusu COVID-19? Kuliko kuwa mnazua uongo usio na kichwa wala miguu! Kwa nini msishinikize Serikali kutoa taarifa kamili kama kweli mnania njema na Watanzania.
Na kujikomba komba kwa watawala haiwezi kukufanya kuwa MZALENDO.
 
Tanzania awamu hii tumepatwa na laana. Wajinga na wanafiki wamepewa mamlaka ofisi mbalimbali. Halafu wananchi wanashauriwa na baadhi ya wapumbavu kuwa wawasubirie hao wajinga watoe kauli kuhusiana na uhai wao.

Corona ipo. Chukua tahadhari. Usiku huu imemchukua RC.
Mstaafu
 
Kuna kasumba mbaya sana imejengeka ndani ya wafuasi na wanachama wa vyama vya upinzani kuwa na akili mbovu ya kuwa wanalitakia mabaya taifa letu, kisa tu wao wamepoteza mvuto wa kisiasa hapa Tanzania.

Ikumbukwe kuwa kama upinzani ungekuwa unakubalika hapa Tanzania na upo ndani ya mioyo ya Watanzania, wananchi wangeikataa serikali ya CCM kwa udi na uvumba maana hakuna mtu ambaye yupo tayari kutawaliwa kwa mabavu na chama asichokitaka.

Kueneza uzushi kuwa kuna maambukizi ya COVID-19, huku mkifurahi utadhani kama huu mlipuko ukitokea hautawagusa ni uzembe wa kufikiri na kufirisika kisiasa. Mmesahau kuwa kete ya kususia bunge kwa minajiri ya kukwepa COVID-19 imesababisha mkakosa wabunge na kuporomoka kisiasa? Mbona hamjifunzi?

Mambo mengi mabaya mnaliombea taifa letu, kisa tu mmeshindwa uchaguzi. Huu ni upumbavu wa kisiasa.

Kwanini msiwe na subira mamlaka husika zikatoa taarifa kuhusu COVID-19? Kuliko kuwa mnazua uongo usio na kichwa wala miguu! Kwa nini msishinikize Serikali kutoa taarifa kamili kama kweli mnania njema na Watanzania.
Wao wanaliombea heri taifa ila wazalendo maslahi wanawaona ni maadui.
 
Mtoa mada wewe ndiyo mwenye akili mbovu! Sisi Watanzania Wazalendo hatuiombei mabaya Nchi yetu!..

Tatizo ni kuwa huyu hata kwa maelezo ya ufasaha kama haya uliyompa yeye na mamburula wenziwe bado watajifanya kuwa hawaoni wala hawaelewi.

Ujinga mzigo kama ile ile ajitwikao mtu kichwani.
 
Kuna kasumba mbaya sana imejengeka ndani ya wafuasi na wanachama wa vyama vya upinzani kuwa na akili mbovu ya kuwa wanalitakia mabaya taifa letu, kisa tu wao wamepoteza mvuto wa kisiasa hapa Tanzania...
Na inavyoonekana hizi ni pin za mwanzo mwanzo tu. Wanatest tu mitambo...dalili zinaonesha kuna fimbo zaidi zitafuata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom