Kuliombea mabaya Taifa letu haisaidii Upinzani kukubalika hapa Tanzania

Hapo ndo wanaposhangaa.sisi Wala hatuna muda wa kuhangaika nao..
Kenya Kuna corona,Rwanda,Burundi n.k.
Lakini Tanzania tumekaa kimyaa Wala hatuna haja ya kumtenga mtu.
Sisi tumemuachia MUNGU
Wapigeni marufuku basi kuingia bongo
 
Watu wengine mna akili za kuku. unapoongozwa na mjinga na mpumbavu maana Yake wewe ni punguani kuliko kiongozi wako.
Pole nyumbu kwa kuongozwa na mjinga na mpumbavu.
Amin alikuwa na akili kibaba lakini aliwatawala Waganda kwa mkono wa chuma.

Nyoka haogopwi kwa sababu ya akili bali kutokana na kuwa hana akili, na madhara anayoweza kukusababishia. Kati ya kichaa na mwerevu, ni nani utamwogopa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amin alikuwa na akili kibaba lakini aliwatawala Waganda kwa mkono wa chuma. Huwezi kusema Waganda wote walikuwa hawana akili. Dar imewahi kuongozwa na RC Bashite, huwezi kusema Dar wote walikuwa hawana akili.

Nyoka haogopwi kwa sababu ya akili bali kutokana na kuwa hana akili, na madhara anayoweza kukusababishia. Kati ya kichaa na mwerevu, ni nani utamwogopa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kasumba mbaya sana imejengeka ndani ya wafuasi na Wanachama wa Vyama vya Upinzani kuwa na akili mbovu ya kuwa wanalitakia mabaya taifa letu, kisa tu wao wamepoteza mvuto wa kisiasa hapa Tanzania.

Ikumbukwe kuwa kama Upinzani ungekuwa unakubalika hapa Tanzania na upo ndani ya mioyo ya Watanzania, wananchi wangeikataa serikali ya CCM kwa udi na uvumba maana hakuna mtu ambaye yupo tayari kutawaliwa kwa mabavu na chama asichokitaka.

Kueneza uzushi kuwa kuna maambukizi ya COVID-19, huku mkifurahi utadhani kama huu mlipuko ukitokea hautawagusa ni uzembe wa kufikiri na kufirisika kisiasa. Mmesahau kuwa kete ya kususia bunge kwa minajiri ya kukwepa COVID-19 imesababisha mkakosa wabunge na kuporomoka kisiasa? Mbona hamjifunzi?

Mambo mengi mabaya mnaliombea taifa letu, kisa tu mmeshindwa uchaguzi. Huu ni upumbavu wa kisiasa.

Kwanini msiwe na subira mamlaka husika zikatoa taarifa kuhusu COVID-19? Kuliko kuwa mnazua uongo usio na kichwa wala miguu! Kwa nini msishinikize Serikali kutoa taarifa kamili kama kweli mnania njema na Watanzania.
Upinzani si vyama wala viongozi wa upinzani wala rangi za bendera za vyama. Upinzani upo ktk maisha na mitazamo ya umma. Kamwe unaoitwa upinzani hauwezi kupoteza mvuto kwani maisha ya watu ndiyo huamua utofauti wa kunitazama na watawala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom