Kulikoni Mbona rais Samia, ameanza kujitenga Kimataifa?

Hali si nzuri Kwa mama Samia, Alipoingia madarakani Samia alikuja na kauli ya kuifungua nchi, alijaribu kurejesha taswira ya Tanzania kwenye mstari.

Alisafiri nchi za ulaya kama zote na Marekani. Alikalibishwa ikulu ya white house na kupokelewa na Kamala. Vice president Kalama alimtembelea Samia Dar es salaam. Kwakweli Samia aling'ara sana Kimataifa.

Sahivi Samia hasafiri Tena nje, haendi kwenye makongamano ya Kimataifa, akisafiri anaenda Msumbiji na Madagascar.

Ziara za Ulaya na Marekani zimekata kabisa.

Tunakutumia salamu Samia Ile zomea zomea uliyokutana nayo Marekani 2021, Hadi ukapitishwa uhani ilkuwa ni Cha mtoto, sahivi ukikanyaga Marekani, Uingereza,Canada na German utakipata Cha moto.

By the way mbona Samia amejitenga Kimataifa?

Mto wa mbu,
Illinois -USA
safari za nje hakuwa anajiendea tu,kulikuwa na plan,kwa sasa ni wakati wa uchaguzi,ngoja ashinde na mipango itasetiwa na atasafiri tu
 
Hali si nzuri Kwa mama Samia, Alipoingia madarakani Samia alikuja na kauli ya kuifungua nchi, alijaribu kurejesha taswira ya Tanzania kwenye mstari.

Alisafiri nchi za ulaya kama zote na Marekani. Alikalibishwa ikulu ya white house na kupokelewa na Kamala. Vice president Kalama alimtembelea Samia Dar es salaam. Kwakweli Samia aling'ara sana Kimataifa.

Sahivi Samia hasafiri Tena nje, haendi kwenye makongamano ya Kimataifa, akisafiri anaenda Msumbiji na Madagascar.

Ziara za Ulaya na Marekani zimekata kabisa.

Tunakutumia salamu Samia Ile zomea zomea uliyokutana nayo Marekani 2021, Hadi ukapitishwa uhani ilkuwa ni Cha mtoto, sahivi ukikanyaga Marekani, Uingereza,Canada na German utakipata Cha moto.

By the way mbona Samia amejitenga Kimataifa?

Mto wa mbu,
Illinois -USA
Looking at thr timing

Priority ni kumangamanga au uchaguzi?
 
Watamwaga oil Kilomita zimetimia
 
Nadhani bado hujamfahamu rais Donald Trump WA marekani rais ambaye hakujibu congratulations ya Samia pale aliposhinda URAIS dhidi ya Kamala . Bwana eee chezea vitu vingine na sio Yule jamaa . Samia NI heri aendelee kubaki nyumbani kuliko aibu ambayo itamkuta siku akienda USA
Unachoongea ni kweli, yule bwanq ni kichwa kibovu anakukaribisha kisha anakuweka live dunia ikiwa inakuona kisha anaanza kukosoa uongozi wako. Rejea ziara za Zelenzky wa Ukraine na Ramaphosa wa South Africa. Ni kiongozi gani atataka aibu ile?
 
Back
Top Bottom