Kulikoni Mbona rais Samia, ameanza kujitenga Kimataifa?

Hali si nzuri Kwa mama Samia, Alipoingia madarakani Samia alikuja na kauli ya kuifungua nchi, alijaribu kurejesha taswira ya Tanzania kwenye mstari.

Alisafiri nchi za ulaya kama zote na Marekani. Alikalibishwa ikulu ya white house na kupokelewa na Kamala. Vice president Kalama alimtembelea Samia Dar es salaam. Kwakweli Samia aling'ara sana Kimataifa.

Sahivi Samia hasafiri Tena nje, haendi kwenye makongamano ya Kimataifa, akisafiri anaenda Msumbiji na Madagascar.

Ziara za Ulaya na Marekani zimekata kabisa.

Tunakutumia salamu Samia Ile zomea zomea uliyokutana nayo Marekani 2021, Hadi ukapitishwa uhani ilkuwa ni Cha mtoto, sahivi ukikanyaga Marekani, Uingereza,Canada na German utakipata Cha moto.

By the way mbona Samia amejitenga Kimataifa?

Mto wa mbu,
Illinois -USA
Una uswahili na utoto utoto mwingi sana.
Jamii forum ilikuwa zamani sahz wamejaa watu Kama ww
 
Sjuh wabongo mnataka nn Yan akitulia ikulu mnasema akiondoka mnasema sjuh mwataka nn ninyi wajukuu wa Nyerere?
 
Hali si nzuri Kwa mama Samia, Alipoingia madarakani Samia alikuja na kauli ya kuifungua nchi, alijaribu kurejesha taswira ya Tanzania kwenye mstari.

Alisafiri nchi za ulaya kama zote na Marekani. Alikalibishwa ikulu ya white house na kupokelewa na Kamala. Vice president Kalama alimtembelea Samia Dar es salaam. Kwakweli Samia aling'ara sana Kimataifa.

Sahivi Samia hasafiri Tena nje, haendi kwenye makongamano ya Kimataifa, akisafiri anaenda Msumbiji na Madagascar.

Ziara za Ulaya na Marekani zimekata kabisa.

Tunakutumia salamu Samia Ile zomea zomea uliyokutana nayo Marekani 2021, Hadi ukapitishwa uhani ilkuwa ni Cha mtoto, sahivi ukikanyaga Marekani, Uingereza,Canada na German utakipata Cha moto.

By the way mbona Samia amejitenga Kimataifa?

Mto wa mbu,
Illinois -USA
Yupo bussy na uchaguzi. Kufukuzia Dola si mchezo, ukicheza wapinzani wanachukua. Uliona wapi timu inayosubiriwa kucheza fainali iache mazoezi na kwenda kwa jirani kupiga soga.

Isitoshe, nchi kashaifungua, makomeo yote yametupwa, aende huko kufanya nini?
 
Hali si nzuri Kwa mama Samia, Alipoingia madarakani Samia alikuja na kauli ya kuifungua nchi, alijaribu kurejesha taswira ya Tanzania kwenye mstari.

Alisafiri nchi za ulaya kama zote na Marekani. Alikalibishwa ikulu ya white house na kupokelewa na Kamala. Vice president Kalama alimtembelea Samia Dar es salaam. Kwakweli Samia aling'ara sana Kimataifa.

Sahivi Samia hasafiri Tena nje, haendi kwenye makongamano ya Kimataifa, akisafiri anaenda Msumbiji na Madagascar.

Ziara za Ulaya na Marekani zimekata kabisa.

Tunakutumia salamu Samia Ile zomea zomea uliyokutana nayo Marekani 2021, Hadi ukapitishwa uhani ilkuwa ni Cha mtoto, sahivi ukikanyaga Marekani, Uingereza,Canada na German utakipata Cha moto.

By the way mbona Samia amejitenga Kimataifa?

Mto wa mbu,
Illinois -USA
Mama Samia usiwasikilize hawa ni wanafiki tu. Ukisafiri sana nje watakwita Vasco Dagama. Ukifanya kazi nyumbani TZ bila kwenda nje, wanasema umetengwa.

Usiwasikilize hawa, dunda kazi tu.
 
Hauna adabu kwa Mh Rais acha kumpangia kazi.
Mama Samia 2025
October tunatiki

Yupo busy na kuteka na kuua wanaomkosoa. Akienda huko nje, hawawezi kukosa kumwambia kwa uwazi kuwa hawana nafasi ya kushirikiana na muuaji mdhulumaji haki za Watanganyika. Baada ya October, safari zake ziaishia Kizmkazi. Hata hayo mataifa ya Afrika hayatataka aibu ya kunjulikana kuwa yanashirikiana na muuaji!
 
Hapo mnaoneaaaa!!! Chama Kiko kwenye maandalizi ya Uchaguzi ambapo yeye kama Mwenyekiti na Mgombea lazima awepo.

Jambo jingine ni kwamba, pamoja na changamoto zilizopo kwenye utawala wake, yeye pia ni binadamu, tukosoe kwa staha hata kama kelele tunazotoa hazileti majibu tunayotaka. Urais ni mzigo japo ni mtamu. Lakini pia Pole pole keshasema kazungukwa.na manyang'au. Wakati mwingine tunamlaumu bure. Tuombe sana Mungu atusaidie jamani.
Ukimuombea wewe inatosha
 
Hali si nzuri Kwa mama Samia, Alipoingia madarakani Samia alikuja na kauli ya kuifungua nchi, alijaribu kurejesha taswira ya Tanzania kwenye mstari.

Alisafiri nchi za ulaya kama zote na Marekani. Alikalibishwa ikulu ya white house na kupokelewa na Kamala. Vice president Kalama alimtembelea Samia Dar es salaam. Kwakweli Samia aling'ara sana Kimataifa.

Sahivi Samia hasafiri Tena nje, haendi kwenye makongamano ya Kimataifa, akisafiri anaenda Msumbiji na Madagascar.

Ziara za Ulaya na Marekani zimekata kabisa.

Tunakutumia salamu Samia Ile zomea zomea uliyokutana nayo Marekani 2021, Hadi ukapitishwa uhani ilkuwa ni Cha mtoto, sahivi ukikanyaga Marekani, Uingereza,Canada na German utakipata Cha moto.

By the way mbona Samia amejitenga Kimataifa?

Mto wa mbu,
Illinois -USA
Usa river 😃😃😃
 
dayaspora kumbe na nyinyi ni kama sisi tu
 
Wewe beba maboxi tu huko, Mh akija huko anaonana na watu wa hadhi yake sio viberenge.
 
Tunakutumia salamu Samia Ile zomea zomea uliyokutana nayo Marekani 2021, Hadi ukapitishwa uhani ilkuwa ni Cha mtoto, sahivi ukikanyaga Marekani, Uingereza,Canada na German utakipata Cha moto.
Duh,
Umeamua kumsanua mapema
 
Back
Top Bottom