Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,959
- 3,172
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania inakabiliwa na changamoto ya upungufu wa rasilimali fedha kutokana na mauaji aliyoyasababisha .
Hii maana yake ni kwamba Taifa lijiandae kupitia magumu plus kwa sababu ya unjinga wa kikundi cha watu wachache kushindwa kufanya maamuzi yenye busara .
Yaani tupoteze wapendwa wetu na bado tuje kupitia hali ngumu kiuchumi ,mmmh! hell No
SIalijifanya chura kiziwi ,sasa ameanza kusikia eeh!
Bora tukomae atoke 👺👺.