gfsonwin hujambo mdogo wangu? Nafurahi kukuona.
B2T, in general malezi ya wazee yanahitaji uvumilivu, umakini na upendo wa dhati wa kila anaemzunguka hasa kama ni familia.
Ni ngumu kidogo kueleza ama kuwa na namna moja ya malezi ya wazee, kwa misingi kuwa watu wazima wengi wametofautiana namna ambavyo wanazeeka tokana na hulka ama tabia zao wanapokuwa kabla ya hali ya uzee sana. Pia na afya yao ni kigezo kikubwa cha malezi na uangalizi atakaopaswa kupewa. Hivyo mwisho wa siku inategemea zaidi upendo dhidi ya mzee huyo toka kwa wale ambao yupo chini ya uangalizi wao. Upendo utafanya kuwajibika zaidi, kujali zaidi, kuwa karibu na pia kuhakikisha vile vilivyo msingi na mhimu vinatimizwa.
Nafurahi kukusoma,nilikukosa sana.
Kama kuna mzee nyumbani, mtafute mwari anaependa kuongea tu, mzee atakijisiki yuko furahani
gfsonwin hujambo mdogo wangu? Nafurahi kukuona.
B2T, in general malezi ya wazee yanahitaji uvumilivu, umakini na upendo wa dhati wa kila anaemzunguka hasa kama ni familia.
Ni ngumu kidogo kueleza ama kuwa na namna moja ya malezi ya wazee, kwa misingi kuwa watu wazima wengi wametofautiana namna ambavyo wanazeeka tokana na hulka ama tabia zao wanapokuwa kabla ya hali ya uzee sana. Pia na afya yao ni kigezo kikubwa cha malezi na uangalizi atakaopaswa kupewa. Hivyo mwisho wa siku inategemea zaidi upendo dhidi ya mzee huyo toka kwa wale ambao yupo chini ya uangalizi wao. Upendo utafanya kuwajibika zaidi, kujali zaidi, kuwa karibu na pia kuhakikisha vile vilivyo msingi na mhimu vinatimizwa.
Kama kweli vile nyumbani kwetu tulikua tunakaa na bibi yake mama mungu amrehemu....alikua shosti wangu mwenyewe kila anachotaka ananimbia mie siku nikiwa na hzuni nae anakua mnyongee
wazee mara nyingi ni wasumbufu sana ingawa sio wote wanahitaji kuthaminiwa wajihisi nao ni muhimu katika familia upendo pia yapendeza washirikishwe katika masuala madogo madogo ya kifamilia maoni yao yakithaminiwa ni vizuri zaidi
sawa kabisa, wazee hupenda kuthamiwa sana manake nilichokiona kwenye familia nyingi huishia kuona wazee kama watu waliozeeka sana ambao mawazo yao yamepitwa na wakati na mwishowe hawapewi nafasi kabisa ya kuskilizwa
ukweli wazee wanapenda sana mtu aliye tayari kuwaskiliza na kuongea nae hujiona kama nae ni sehem ya maisha
Kama kweli vile nyumbani kwetu tulikua tunakaa na bibi yake mama mungu amrehemu....alikua shosti wangu mwenyewe kila anachotaka ananimbia mie siku nikiwa na hzuni nae anakua mnyongee
mie sijambo kabisa dada yangu AshaDii.
kuhusu wazee kuzeeka kwa namna tofauti hilo nakubaliana nalo kabisa, manake wapo ambao wanazeeka wakiwa na magonjwa hasa ya uzee kama vile osteoporosis kwa akina bibi, diabetes and hypertension, prostate gland kwa akina babu nk.
nilichojifunza ni kwamba wazee wengi huonekana usumbufu na kero hata kwa watoto wao waliowazaa, nafkiri hii ndio msababu ya hata nchi zawenzetu kuwa na vituo vya kulea wazee. lakin jambo ambalo mie sijui ni kwann ivi inawezekanaje kweli mtu aoenekane msumbufu ilihali alipokuwa na nguvu zake alikuwa mlezi wa nyie ambao ndio wenye nguvu kwa sas??
jambo jingine nimeona kwenye familia nyingi hupenda kuwahamisha wazee kutoka kwenye miji yao na kuwachukua majumban mwao kuwalea kwa kigezo kwamba wanawasogezea huduma je wanavyofanya hivi wanakumbuka kwamba wanawanyima wazee uhuru wao??
Nimekupata sasa.
Ki msingi kulea mzee ni kazi sana na mtihani kweli kweli. Na mara nyingi huwa kundi hili wengi huonekana ni wasumbufu mno na ni nadra ambapo wanakuwa si wasumbufu. Hivyo kama una mzee sana anajiweza na mnatuma tu matumizi huku mkiweka msaidizi wa kumsadia huwa walau rahisi sababu mwisho wa siku yeye atajiamulia kuhusu lolote lile. Na naamini hawa huishi kwa amani zaidi, ndiyo maana kama ulivyosema wengine hudiriki kuwapeleka katika vituo maalum.
Linapokuja suala la kumlea, shida huwa hapo hasa ukizingatia mitazamo ya kufanya masuala mbali mbali yanakuwa tofauti na mtazamo wake ambao mara nyingi unakuwa wa kizamani kwa masuala ambayo yanaweza kuendeshwa kwa urahisi zaidi.
Kwa upande wangu naona kama vile kila mzee atakuwa na namna yake ya kum handle (ambayo inahitaji uvumilivu) na pia kumpa chochote ambacho anakuwa anakihitaji.
Ndio nlikua namuona babu yangu anapofurahi na dada angu na dada akienda safari tu utamsikia babu analalamika amekimbiwa wakati wengi tumo ndani ilaameondoka mmoja tu, na sote tukiondoka akibakia dada angu tu wala halalamiki
Aiseeee .......gfsonwin hujambo mdogo wangu? Nafurahi kukuona.
B2T, in general malezi ya wazee yanahitaji uvumilivu, umakini na upendo wa dhati wa kila anaemzunguka hasa kama ni familia.
Ni ngumu kidogo kueleza ama kuwa na namna moja ya malezi ya wazee, kwa misingi kuwa watu wazima wengi wametofautiana namna ambavyo wanazeeka tokana na hulka ama tabia zao wanapokuwa kabla ya hali ya uzee sana. Pia na afya yao ni kigezo kikubwa cha malezi na uangalizi atakaopaswa kupewa. Hivyo mwisho wa siku inategemea zaidi upendo dhidi ya mzee huyo toka kwa wale ambao yupo chini ya uangalizi wao. Upendo utafanya kuwajibika zaidi, kujali zaidi, kuwa karibu na pia kuhakikisha vile vilivyo msingi na mhimu vinatimizwa.
Asante dear, hopefully tutakua pamoja sana tu. Nafurahi kukuona pia. Do take care.