Kulaziwa matiti mgongoni...

Kulaziwa matiti mgongoni...

Hayo matiti ni makubwa kiasi gani? Kama kiroba au... Je wenye matiti kama mgumi ya mtoto wafanyeje?
 
Mungu awasaidie sana mioyo yenu hamjui muyanenayo hapa.
yaani wanadamu kila kukicha mnawaza mambo ya :A S 2152::A S 2152:
kwa nini msiwaze :third::violin::fish2: na mengineyo?
 
Ha ha ha ha, hapo kwenye picha nilikuwa mzee, sasa hivi nina miaka 16 tu

Haya mama nimekubali...naona umekuwa kama Tai(Eagle)...unazeeka then...unanyonyoka manyoya unakuwa kadogoo...ukisubiri manyoya yaote tena...

Cheers
 
Juzi nilikua sehemu nimejibanza nawasikiliza wadada 2 wakiongea...

Wa 1 alikuwa akilalamika kuwa hatopanda tena bodaboda kwa sababu aliwahi kuangushwa na huwa
wanaendesha kwa speed sana..

Dada wa 2 akamwambia kua asiogope kupanda, ila eti akitaka kuendeshwa pole pole amlazie matiti mgongoni,
mtu wa boda boda hua anaendesha pole pole na anatamani asifike, na bei huwa anatoa ndogo kwa
kulaziwa dodo mgongoni....

Wadau hapa mna maoni gani??

kumbe kuanzia sasa nikiwa naendesha pikipiki nita vaa shati jepesi sana ili niweze kufeel...
 
hapo kuna ukweli kutoka manzese mpaka magomeni naweza nikaiendesha pikipiki kwa muda wa lisaa lizima.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
mbona kama kunakitu umekumbuka Lady doctor tushirikishane.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom