Kulaziwa matiti mgongoni...

Kulaziwa matiti mgongoni...

Bora wewe utafanya hivyo hao wengine wanataka kusababisha ajali tu ha ha ha
umeona eeeh,,,,ajali haitokei tena na tukitoka hapo namfikisha anakoenda hakuna tena kugusisha na matiti
 
Inategemea na aina ya matiti yenyewe...bolibo,konzi,sindano,teremka tukaze, saa sita au yale yanayosimama akipiga deki!
 
Jamaa wa boda boda wanajisifu kugusa papuchi kwa mgongo ila mabonge yana boa
 
Inategemea na aina ya matiti yenyewe...bolibo,konzi,sindano,teremka tukaze, saa sita au yale yanayosimama akipiga deki!

Haahaahaaa🙂 Haya yasimamay0 wakati wa kudeki huwa tunayaita WIND S0CK (kama fuk0 la kujuza ueleke0 wa upep0 kwenye viwanja vya ndege)
 
Juzi nilikua sehemu nimejibanza nawasikiliza wadada 2 wakiongea...

Wa 1 alikuwa akilalamika kuwa hatopanda tena bodaboda kwa sababu aliwahi kuangushwa na huwa
wanaendesha kwa speed sana..

Dada wa 2 akamwambia kua asiogope kupanda, ila eti akitaka kuendeshwa pole pole amlazie matiti mgongoni,
mtu wa boda boda hua anaendesha pole pole na anatamani asifike, na bei huwa anatoa ndogo kwa
kulaziwa dodo mgongoni....

Wadau hapa mna maoni gani??

NYIE WAKINA DADA WA HUMU JAMII KUBALINI KUDANGANYWA....Ukinilalia tu brake ya kwanza polisi...ntakufuata kesho yake na napenda iwe ijumaa dhaman hadi j3.....nyambafu
 
try me Konnie...halafu ya kwangu ina siti belti kabisa....nikikubana hapo mgongoni ni full kunichomachoma hakuna kutikisika

Hahahahaha jamani watu8 unapenda raha kama paka wa kimanga lol
 
Last edited by a moderator:
Nimecheka kweli kwa hii mada na comments.. nitafanya majaribio na mie🙂)
 
Na ukute umeegemewa na kwapa linanuka kama choo cha feri utajutaaa
 
Aisee, kuja haraka sana, miba yangu inataka kuchoma

try me Konnie...halafu ya kwangu ina siti belti kabisa....nikikubana hapo mgongoni ni full kunichomachoma hakuna kutikisika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom