samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 360
kyhaaa bodaboda man wanafaidi jamang, natamani kuwa bodaboda miee
kyhaaa bodaboda man wanafaidi jamang, natamani kuwa bodaboda miee
Aisee, kuja haraka sana, miba yangu inataka kuchoma
Nadhani wanashuka wote..mzima weyee..
Taratibu jamani.........kuna wengine wazazi wetu ndio usafiri kule kijijini.....msije ikawa mnajitusi wenyewe hapa. Kuweni makini.
bila shaka utakuwa uliegemewa na wale wamama wanaoficha kila kitu kwenye matiti...si ajabu huyo aliyekuegemea alificha Nokia Tochi huko
Hahahaha hayo itabidi waweke vijiti ile unajiskia unachomwa chomwa ndo roho itaridhika lol
Mie mzima.......ukimya wako unanitisha sana............
Umeshawahi kuyashika?
Usiogope mama... ni mihangaiko tu...nipo pouwa
Mh.....nafikiri pia itategemea na aina ya matiti......najaribu kuvuta picture....
Kwa imani...kwani nimetafsiri hiyo avatar yako...LOL