Kulaziwa matiti mgongoni...

Kulaziwa matiti mgongoni...

Na bodaboda yangu huwa napakia wadada wenye boobs kubwa tu....acheni nifaidi ufundi wa Maulana miye
 
kwani gest ztakuwa mbali....? Ila Mengne hata hayashtui unaweza dhani umeegemezewa kitambi.

bila shaka utakuwa uliegemewa na wale wamama wanaoficha kila kitu kwenye matiti...si ajabu huyo aliyekuegemea alificha Nokia Tochi huko
 
Mnashuka wote au unamshusha yeye we waendelea na safari!!!!!!!
Heavens on Earth hujaelewa tu anachosema huyu ndugu? Hii ina maana mnashuka wote halafu anakubaka. Baadhi ya hawa jamaa wa bodaboda sifa yao mojawapo huwa ni ubakaji.
 
madereva boda boda ndo wanaongoza kwa kuvunja ndoa za watu kama hako kamchezo cha matiti mbona noumaa


bodaboda_uganda.jpg
 
unauhakika huna mzazi anayetegemea hii tuk tuk kama njia ya usafiri...... maana kuna wengine mama zao wanazipanda sasa usije tukana wazazi wa watu.[/QUOTE
si kila mwanamke mkuu inategemea na matiti yenyewe na mambo kadha wa kadha !!
 
Distance muhimu,kila mtu anakuwa huru arusisoweto6.jpg
 
Duh hii kali unacheka bila ridhaa, kama ina ukweli sijui lakini mkuu Boflo ameinyaka kwa sikio lake nadhani ni kweli maana hii dunia kwa vijimambo haijambo pia.
 
Last edited by a moderator:
Juzi nilikua sehemu nimejibanza nawasikiliza wadada 2 wakiongea...

Wa 1 alikuwa akilalamika kuwa hatopanda tena bodaboda kwa sababu aliwahi kuangushwa na huwa
wanaendesha kwa speed sana..

Dada wa 2 akamwambia kua asiogope kupanda, ila eti akitaka kuendeshwa pole pole amlazie matiti mgongoni,
mtu wa boda boda hua anaendesha pole pole na anatamani asifike, na bei huwa anatoa ndogo kwa
kulaziwa dodo mgongoni....

Wadau hapa mna maoni gani??

This issue is very serious.
 
kwani gest ztakuwa mbali....? Ila Mengne hata hayashtui unaweza dhani umeegemezewa kitambi.

Hahahaha hayo itabidi waweke vijiti ile unajiskia unachomwa chomwa ndo roho itaridhika lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom