Kulaziwa matiti mgongoni...

Kulaziwa matiti mgongoni...

hahahahahaa....hata picha inanielewesha..hahahahah

hahahaaa, umeonaee tena nakuwa mpole na wakati mwingine najifanya kuwahubiria injili ili kuwapotezea maana hawachelewi kusema dada nimevutiwa na wewe loooh!
 
Juzi nilikua sehemu nimejibanza nawasikiliza wadada 2 wakiongea...

Wa 1 alikuwa akilalamika kuwa hatopanda tena bodaboda kwa sababu aliwahi kuangushwa na huwa
wanaendesha kwa speed sana..

Dada wa 2 akamwambia kua asiogope kupanda, ila eti akitaka kuendeshwa pole pole amlazie matiti mgongoni,
mtu wa boda boda hua anaendesha pole pole na anatamani asifike, na bei huwa anatoa ndogo kwa
kulaziwa dodo mgongoni....

Wadau hapa mna maoni gani??

Kwa makusudi ili upate umbea au bahati mbaya walikukuta umejibana sehemu?Jibu tafadhali niongeze swali jingine...
 
mmmmh boda boda yangu haivuki boda mi nilishajitoa mtandaoni sikunyingi kazi kwenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom