Kulala kitanda kimoja bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu

Habari zenu naombeni ushauri jamani Mimi na mme wangu tunakaa chumba kimoja kitanda kimoja tunajifunika shuka moja lakini cha kunishangaza sahivi tuna wiki 3 hatujafanya mapenzi nikiwa na hamu nikimuanza ananiambia amechoka sasa sielewi shida ni nini na kipindi cha nyuma tukifanya huwa anakojoa haraka yani ndani ya dk 5 ameshakojoa na harudii tena bao la Pili tunalala namwambia twende hospital hataki kwakweli niko njia panda hata sielewi tatizo ni nini maana hata huko nyuma tukifanya mapenzi ni mpaka Mimi nimuanze yani hawezi hata kusema mke wangu nimekumisi mpaka Mimi nianze usumbufu ndo tufanye. Naombeni mawazo yenu nifanyaje maana hapa na mawazo hata sielewi na ukifikiria Nina nyege hapa nilipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah duuh .....

am better here
 
HUYU ATAKUA NYUKI MASIKIONI MWA MSHKAJI, MTU KILA UZI UNAMLAUMU MMUMEO MITANDAONI, HUKO NYUMBANI ITAKUWAJE?? HATA MIMI NINGEHAMA NA NYUMBA KABISA AU NARUDI BWAX KILA SIKU.
Huyu alitakiwa akutane na saa mbovu kama mimi...tehteehh [emoji12] [emoji12]
 
cha kufanya hapo muone mshenga wenu muelezee ili awaelezee wazaz wa pande zote mbili, wao ndio watatoa majibu sahihi maana watakaa na mwanaume wako na kumshauri njia sahihi ya kufanya ili aondokane na tatizo hilo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu naombeni ushauri jamani Mimi na mme wangu tunakaa chumba kimoja kitanda kimoja tunajifunika shuka moja lakini cha kunishangaza sahivi tuna wiki 3 hatujafanya mapenzi nikiwa na hamu nikimuanza ananiambia amechoka sasa sielewi shida ni nini na kipindi cha nyuma tukifanya huwa anakojoa haraka yani ndani ya dk 5 ameshakojoa na harudii tena bao la Pili tunalala namwambia twende hospital hataki kwakweli niko njia panda hata sielewi tatizo ni nini maana hata huko nyuma tukifanya mapenzi ni mpaka Mimi nimuanze yani hawezi hata kusema mke wangu nimekumisi mpaka Mimi nianze usumbufu ndo tufanye. Naombeni mawazo yenu nifanyaje maana hapa na mawazo hata sielewi na ukifikiria Nina nyege hapa nilipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi ni hisia na hisia zinaletwa na vichocheo na ukiwa umechoka nna hakika hata vichocheo havifanyi kazi ipasavyo. ila sijajua umejipangaje wewe kama mke katika kulitatua tatizo hilo la mumewe kwa wakati huu. Naamini tiba ni nyingi ambazo unaweza pewa ukamsaidia mumeo ila tiba ya kwanza ni wewe mwenyewe.

Tatizo la kuwahi kukojoa mapema ni la wanaume wengi na sio mumeo tu. Ni changamoto ya hormones mwilini ila linarekebishika kwa kutumia tiba mbadala yaani dawa za kisuna au hata za madukani.

Tiba ya pili ni vyakula anavyokula mumeo inawezekana pia ikawa ni changamoto kwake. Kuna baadhi ya vyakula mabavyo vinashauriwa kuliwa na mwanamme kwa ajili ya kujenga mbegu za uzazi na kufanya uume wake uwe strong, Mfano mbegu za maboga(Binjra), almonds (lozi), juice ya parachichi, juice ya ndimu na tangawizi, chai yenye viungo na siio majani ya chai,

Mumeo ana desturi ya kusafisha mwili mara kwa mara yaani detoxification? pengine mwilini kumejaa sumu sana kiasi ambacho hisia zake zinakuwa mbali. mfanyio detox hii angalau mara moja kwa mwezi na uje utupe mrejesho na familia pia uwape itasaidia.Chukua ndimu ikate, mdalasini mzima, tango likate, manjano mbichi na majani ya mint ( nanaa) changanya pamoja kwenye chupa ya maji kisha weka kwenye friji na asubuhi muanze kunywa mtatoa sumu zote mwilini.

Naomba nikushauri dawa ambazo zitakusaidia katika tatizo hili bila ya kuleta madhara kwamumwe> Dawa hizi ni za kisuna au za kienyeji na zinapatikana kariakoo maduka ya dawa za sisli mtaa wanyamwezi
1SUFA AU SEFIO. Chukua kimoja cha chakula cha unga wa sufa na ukoroge ndani ya glasi ya maziwa na kuinywa humpa nguvu yule ambaye anapofanya tendo la ndoa maraya kwanza hawezikurejea mara ya pili; na kama atarejea mara ya pili hawezi kutoa manii hata kama atachukua masaa mawili. Vilevile inamfaa mtu ambaye anapofanya jima mara ya kwanza humwaga haraka lakinmi anapofanya mara ya pili hawezi kumwaga hata kama atachukua masaa matano, pia dwa hii hutia mishipa nguvu nakviweka imara viungo vilivyolegea na husafisha damu
2.TANGAWIZI YA UNGA. chukua unga wa tangawizi kijiki 1 cha chai ukikorogea kwenye glasi ya maziwa huzidisha mkuyati
3.HABATI SODA, SUFA NA KHARMALI.chukua habati soda. sufa na kharmali robo kilo kila moja na ukipata za unga ni nzurio zaid ila ukipata za mbegu zichanganye pamoja halafu zitwange na kuzichunga ili kupata unga wake,glsi moja ya mziwa kwa kijiki cha chakula mara tatu, asubuhi anywe glasi mbili ,jioni na usiku u=glasi moja, atumie hii dawa mpaka dawa imalizike tatizo litaondoka
 
Unavyomlazimisha kwenda hospital utazidi kumpa hofu maana atakuwa anawaza kujielezea ni kama atajidhalilisha.....

Fanya kumchunguza na kumuhoji taratibu akwambie shida ni nini!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimembembeleza anaishia kuniambia kachoka kama Jana nmeandaa mazingira freshi nmevua nguo zote nmelala nimemkumbatia nimemfanyia kila utundu hataki ananitoa mkono anasema kachoka nikaendeleza utundu akawa mkali ananiambia we husikii utalia kwa kweli niliumia sana mpaka nikaenda kulala mzungu wa 4 maana naona tu najiumiza ila basi tu namwachia Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nimejitahidi kupitia threads zako hapo nyuma kabla ya kukushauri, na nimegundua haya yafuatayo:-
1. Umetawaliwa na hisia kwamba mumeo sio msomi.
2. Unahisi kwamba aina ya kazi anayo ifanya mumeo sio kazi nzuri.
3. Unaumizwa na umasikini na unaonekana una tamaa ya mafanikio.
4. Una ongea sana na kumsema mwanaume wako, hata amefikia hatua ya kukuchukia/hakupendi lakini ameamua kunyamaza tu.
5. Unadanganywa na hisia kwamba wapo wanaume bora zaidi ya huyo mwanaume wako.
Kwa yote haya kama kweli
Basi hatakua na chembe ya hisia kwake kabisa na asipokua makini akipata mwanamke ambaye atamjali nakuapia ataishia kuona mavumbi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna mambo mengi sana utapaswa kujibu kabla ya kupokea ushauri........

Mana uzoefu unaonyesha mpk mwanaume akikuambia hivyo basi kuna mambo kadhaa ambayo ameyaona kutoka kwako na hayajampendeza.

1. Je kishawahi kukuhisi au kuona tabia za usaliti ktk mapenzi yenu?

2. Je huwa unasifia vitu/wanaume vy/wa namna gani?

3. Mnapokua faragha au akishatupia bao hilo la kwanza je sura yako na maneno uyanenayo huwaje? Je huwa unamsifia kwa alichokifanya???? Kama hua unaonyesha kukereka kwake kwa kuwahi kukojoa basi bibie sahau kabisa kukojolewa bao la pili na mwenzio.

4. Je ni kwa kiasi gani unaweza kuvumilia hasira zako hata kama umeudhiwa na mwenzi wako? Miongoni wa sifa nyingi ni kuwa mke mzuri ni yule ambae anadhibiti hasira zake pindi anapoudhiwa na mumewe lkn pia ni hodari jikoni na pia ananukia vizuri.

5. Je mwanzo wa mahusiano yenu alikua hivyooo au hali hiyo imebadilika baada ya kuanza kuishi pamoja? Kama hakua hivyo basi angalia nini kilichosababisha mambo yende mrama.

Endelea kutafakari mkuu mengine na kuchukua ushauri wa wadau wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
2. Je huwa unasifia vitu/wanaume vy/wa namna gani?

Hii sentensi nimeisoma x10 hata sijaielewa, kama kuna alie ielewa anieleweshe tafadhari..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi ni hisia na hisia zinaletwa na vichocheo na ukiwa umechoka nna hakika hata vichocheo havifanyi kazi ipasavyo. ila sijajua umejipangaje wewe kama mke katika kulitatua tatizo hilo la mumewe kwa wakati huu. Naamini tiba ni nyingi ambazo unaweza pewa ukamsaidia mumeo ila tiba ya kwanza ni wewe mwenyewe.

Tatizo la kuwahi kukojoa mapema ni la wanaume wengi na sio mumeo tu. Ni changamoto ya hormones mwilini ila linarekebishika kwa kutumia tiba mbadala yaani dawa za kisuna au hata za madukani.

Tiba ya pili ni vyakula anavyokula mumeo inawezekana pia ikawa ni changamoto kwake. Kuna baadhi ya vyakula mabavyo vinashauriwa kuliwa na mwanamme kwa ajili ya kujenga mbegu za uzazi na kufanya uume wake uwe strong, Mfano mbegu za maboga(Binjra), almonds (lozi), juice ya parachichi, juice ya ndimu na tangawizi, chai yenye viungo na siio majani ya chai,

Mumeo ana desturi ya kusafisha mwili mara kwa mara yaani detoxification? pengine mwilini kumejaa sumu sana kiasi ambacho hisia zake zinakuwa mbali. mfanyio detox hii angalau mara moja kwa mwezi na uje utupe mrejesho na familia pia uwape itasaidia.Chukua ndimu ikate, mdalasini mzima, tango likate, manjano mbichi na majani ya mint ( nanaa) changanya pamoja kwenye chupa ya maji kisha weka kwenye friji na asubuhi muanze kunywa mtatoa sumu zote mwilini.

Naomba nikushauri dawa ambazo zitakusaidia katika tatizo hili bila ya kuleta madhara kwamumwe> Dawa hizi ni za kisuna au za kienyeji na zinapatikana kariakoo maduka ya dawa za sisli mtaa wanyamwezi
1SUFA AU SEFIO. Chukua kimoja cha chakula cha unga wa sufa na ukoroge ndani ya glasi ya maziwa na kuinywa humpa nguvu yule ambaye anapofanya tendo la ndoa maraya kwanza hawezikurejea mara ya pili; na kama atarejea mara ya pili hawezi kutoa manii hata kama atachukua masaa mawili. Vilevile inamfaa mtu ambaye anapofanya jima mara ya kwanza humwaga haraka lakinmi anapofanya mara ya pili hawezi kumwaga hata kama atachukua masaa matano, pia dwa hii hutia mishipa nguvu nakviweka imara viungo vilivyolegea na husafisha damu
2.TANGAWIZI YA UNGA. chukua unga wa tangawizi kijiki 1 cha chai ukikorogea kwenye glasi ya maziwa huzidisha mkuyati
3.HABATI SODA, SUFA NA KHARMALI.chukua habati soda. sufa na kharmali robo kilo kila moja na ukipata za unga ni nzurio zaid ila ukipata za mbegu zichanganye pamoja halafu zitwange na kuzichunga ili kupata unga wake,glsi moja ya mziwa kwa kijiki cha chakula mara tatu, asubuhi anywe glasi mbili ,jioni na usiku u=glasi moja, atumie hii dawa mpaka dawa imalizike tatizo litaondoka
Asante sana ntajaribu

[emoji25][emoji25][emoji25]nimesoma hadi kamasi limenitoka asee siimalizi tu hii essay!!

Mkuu Kiraremapojoni nipe namba yako ya simu please.
 
Back
Top Bottom