Seriously hata mimi hunitokea ndoto za kutisha nikilala chali. Labda kuna maelezo y kisayansiYaani nikilala style ya kifo cha mende huwa naota ndoto mbaya mbaya sana
Jana nilitoka kwenye party usiku nikawa nimechoka nikaoga nikajitupa tu kitandani kifo cha mende nilitaka nijiegeshe tu niamke hata nivae kinight dress ,kumbe nilipitiwa usingizi .nimeshtushwa na lindoto limoja hatare sana. Shida ni nini wakuu .hili pozi halinifai kabisa.