Kulala Kifo cha mende kibaya sana kunanitesa

Nimeogopa sana kwa kweli
Ila ndoto ni kawaida tu, sidhani kama zina ukweli ingawa zaweza kukutisha. Pia coincidence zipo pia, hapa ndio watu huogopa na kuamini ktk hizo ndoto.
Jizoeshe uwe unalala kifudifudi.
 
Mi siamini katika ndoto kabisa Mkuu.kwangu ndoto ni ndoto.yaani siwezi tena kulala chali labda kama nagegedwa
 
Mende akilala chali lazima afe, unategemea huo mlalo utakuacha salama?
 
Mate yanaweza kujaa mdomoni na vile uko usingizini unashindwa kujicontrol.Unakuwa kama unapliwa..Vile unastrugle ndo unakuwa unahisi kama unakabwa na saa nyingine kuota mang'amung'amu..Hii sayansi nilipewa na bibi
 
Kumbe ndo hvo. Mbona sikuwa na mate Mkuu?
 
Hiyo ni moja ya sababu kwa mujibu wa bibi..Lakini pia wanasema kulala chali kunaufanya ubongo wa nyuma kushindwa kufanya kazi vizuri coz mishipa inakuwa imebanwa so damu haisafiri vizuri..Hiyo pia inachangia hiyo mijindoto
 
Yaani nikilala style ya kifo cha mende huwa naota ndoto mbaya mbaya sana
Jana nilitoka kwenye party usiku nikawa nimechoka nikaoga nikajitupa tu kitandani kifo cha mende nilitaka nijiegeshe tu niamke hata nivae kinight dress ,kumbe nilipitiwa usingizi .nimeshtushwa na lindoto limoja hatare sana. Shida ni nini wakuu .hili pozi halinifai kabisa.

Ukiona hayo yanatokea ujue tayari...

upload_2018-5-7_20-8-10.jpeg
 
Yaani nikilala style ya kifo cha mende huwa naota ndoto mbaya mbaya sana
Jana nilitoka kwenye party usiku nikawa nimechoka nikaoga nikajitupa tu kitandani kifo cha mende nilitaka nijiegeshe tu niamke hata nivae kinight dress ,kumbe nilipitiwa usingizi .nimeshtushwa na lindoto limoja hatare sana. Shida ni nini wakuu .hili pozi halinifai kabisa.
ulikua uchi sio
 
Ulikuta nini kwenye nani???
 
Kwishnei
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom