Kulala Kifo cha mende kibaya sana kunanitesa

Kulala Kifo cha mende kibaya sana kunanitesa

Huna wakulala nae miss? Awe anakujeuza jeuza ukipitiwa na usingizi
 
Mimi huwa natafsiri ndoto kwenye nyumba za watu, so ukinikaribisha naja kukutafsiria ntakwambia unionyeshe ulilalaje
 
Wanawake wa JF bana,,kuna mtu anatafutwa hapa alizwe
Duuuuuuuh
30715664_2090915171174830_2487353180455698432_n.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nasikia tu ukilala chali unaota ndoto mbaya wakati mimi huo ndo ulalaji wangu siku zote na ndio ulalaji pekee unaonifanya nilale comfortable!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom