Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
Yaani nikilala style ya kifo cha mende huwa naota ndoto mbaya mbaya sana
Jana nilitoka kwenye party usiku nikawa nimechoka nikaoga nikajitupa tu kitandani kifo cha mende nilitaka nijiegeshe tu niamke hata nivae kinight dress ,kumbe nilipitiwa usingizi .nimeshtushwa na lindoto limoja hatare sana. Shida ni nini wakuu .hili pozi halinifai kabisa.