bahati30
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,625
- 883
Si ndio sababu unasema ulishtuka coz kibwengo ndio kilikuwa kinakaribia kuanza kazi. Kwanza una bahati sana coz ungekuwa unaongea mengine sasa hiv.Wala sijagegedwa
Si ndio sababu unasema ulishtuka coz kibwengo ndio kilikuwa kinakaribia kuanza kazi. Kwanza una bahati sana coz ungekuwa unaongea mengine sasa hiv.Wala sijagegedwa
Ulilala uchi mkuu?Sijagegedwa wakuu
NdioUlilala uchi mkuu?
Nina uhakika ujagegedwa, ungegegedwa usingesema ilikuwa ndoto mbaya!!Sijagegedwa wakuu
Wewe umenielewa.ni kinini kile Mkuu?Si ndio sababu unasema ulishtuka coz kibwengo ndio kilikuwa kinakaribia kuanza kazi. Kwanza una bahati sana coz ungekuwa unaongea mengine sasa hiv.
Dah, nimeangalia avatar yako, nikafumba macho na kuvuta picha umelala kifo cha mende UCHI, tena haujajifunika shuka, dah, ngoja niishie hapa.......!Ndio
Utambi wa mbu a.k.a coilWewe umenielewa.ni kinini kile Mkuu?
Itakua umepigwa vingi sana,hujaona ubichibichi kwa pants? Mwanamke halali kwa style hiyo aisee labda anazaa au anashughulikiwaYaani nikilala style ya kifo cha mende huwa naota ndoto mbaya mbaya sana
Jana nilitoka kwenye party usiku nikawa nimechoka nikaoga nikajitupa tu kitandani kifo cha mende nilitaka nijiegeshe tu niamke hata nivae kinight dress ,kumbe nilipitiwa usingizi .nimeshtushwa na lindoto limoja hatare sana. Shida ni nini wakuu .hili pozi halinifai kabisa.
Ingekuwa nzuri?Nina uhakika ujagegedwa, ungegegedwa usingesema ilikuwa ndoto mbaya!!
Nafikiri isingekuwa mbaya, ila yategemea.Ingekuwa nzuri?
Usiku usishibe sana kula light diet na fruitsYaani nikilala style ya kifo cha mende huwa naota ndoto mbaya mbaya sana
Jana nilitoka kwenye party usiku nikawa nimechoka nikaoga nikajitupa tu kitandani kifo cha mende nilitaka nijiegeshe tu niamke hata nivae kinight dress ,kumbe nilipitiwa usingizi .nimeshtushwa na lindoto limoja hatare sana. Shida ni nini wakuu .hili pozi halinifai kabisa.
Kifo cha mende Ni kulala chali huku miguu umeinyanyua juu,sitaki kuamini kuwa ulilala hivyo ila unamaanisha ulilala chali na sio kifo cha mende.
Nimeogopa sana kwa kweliNafikiri isingekuwa mbaya, ila yategemea.
Sawa Mkuu nimekula nanasi zima hapa sili tenaUsiku usishibe sana kula light diet na fruits
Usipende kulala ukiwa tumbo ndiii ili digestion itake place sawasawa
Lala tumbo likiwa na space
mmmh ngumu kumesaNililala kifo cha mende sema miguu niliikunja