tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,327
Nina kakaangu mkewe akipika chakula kingine tofauti na ugali lazima apikiwe ugali wake.Basi Mimi ni masikini sana, kwa mapenzi yangu na ugali saa yeyote ni ugali time
Unapenda ugali ukiambatana na mboga gani?ha ha haa!! mimi kwa kweli kama haujanianadalia/kuandaa ugali usiku siwezi kukuaelewa aisee!!
Hakuna kitu nakipenda kama ugali
Na vitu amabavyosipendi kula usiku ni ndizi, tambi na chips kwa kweli sijawahi kuwa mpenzi wa hivyo vitu.
Enzi ninapiga kunywaji nilikuwa ninapiga ugali saa sita- saba nikirudi home, ninalala fresh lakini nilikuwa ninapiga gym once or twice a weekNina kakaangu mkewe akipika chakula kingine tofauti na ugali lazima apikiwe ugali wake.
Wengine wanapenda tu ugali wala si kwa sababu ya umaskini. Halafu watafiti wa ugali wamekuwa wengi sana siku hizi kwani wazee wetu walikuwa wanakula nn enzi hizo!!!!
ugali dagaa wakavu, samaki mkavu, nyama kavu aisee hapo hata ukipika mwezi mzima mfululizo.Unapenda ugali ukiambatana na mboga gani?
Mie sipendi ugali na michuzi michuzi!!!
Dona + dagaa + mtindi = usingizi mnono.Basi Mimi ni masikini sana, kwa mapenzi yangu na ugali saa yeyote ni ugali time
Acha tuDona + dagaa + mtindi = usingizi mnono.
Hahaha kwa mjibu wa mleta uzi wewe ni masikiniBasi Mimi ni masikini sana, kwa mapenzi yangu na ugali saa yeyote ni ugali time
rudia Kusoma Hajaongelea Maswala Ya Kufa Mapema ,,,, Naona Umevulugwa Na Maswala Ya Lisu Plus Makinikia Plus AjiraUsomi mwiiingi na complications za ajabu lakini bado tunakufa sana tu. Wazee waligonga menyu hizo hizo na bado wakaishi miaka kibao tu ambayo leo hatufikishi licha ya elimu zenu uchwara hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app