kula na kula tena

hahaaaaaa lol!!! hivi wewe mbona sijaona maoni yako
baada ya main coz wewe unatumiaga side plate au unalundika mlo unaofuata mule mule tu!!


uyo twin wako naona bado age analishwa kwneye chupa hajui main course wala side plate B!
 
"MWANANGU UKIMALIZA KUPIKA TU!MWIKO UOSHE"MAANA USIPOOSHA UTAKUWA MCHAFU UTASHINDWA KUPIKIA TENA!UKIMALIZA SAFISHA NA BAKULI ILI UPATE KUTENGA TENA CHAKULA CHOMBO KIKIWA SAFI,alafu kuna chakula cha kula ndani ya chupa akikisha inakua safi hiyo chupa maana usipoangalia unaweza pata fangas za mdomo ,tema usitafune chupa itatoboka na maziwa kumwagika!Kaizer watakani tena?
uyo twin wako naona bado age analishwa kwneye chupa hajui main course wala side plate B!
 
"MWANANGU UKIMALIZA KUPIKA TU!MWIKO UOSHE"MAANA USIPOOSHA UTAKUWA MCHAFU UTASHINDWA KUPIKIA TENA!UKIMALIZA SAFISHA NA BAKULI ILI UPATE KUTENGA TENA CHAKULA CHOMBO KIKIWA SAFI,alafu kuna chakula cha kula ndani ya chupa akikisha inakua safi hiyo chupa maana usipoangalia unaweza pata fangas za mdomo ,tema usitafune chupa itatoboka na maziwa kumwagika!Kaizer watakani tena?[/QUOTE]
B wa ukweli hapo chali huna la kusema.....unalo?
 
"MWANANGU UKIMALIZA KUPIKA TU!MWIKO UOSHE"MAANA USIPOOSHA UTAKUWA MCHAFU UTASHINDWA KUPIKIA TENA!UKIMALIZA SAFISHA NA BAKULI ILI UPATE KUTENGA TENA CHAKULA CHOMBO KIKIWA SAFI,alafu kuna chakula cha kula ndani ya chupa akikisha inakua safi hiyo chupa maana usipoangalia unaweza pata fangas za mdomo ,tema usitafune chupa itatoboka na maziwa kumwagika!Kaizer watakani tena?
baas. bora yeshe!:D
 
Jaman naomba mnisaidie jinsi ya kupost threads nami.nina topic kibao inabidi tusaidiane,mimi ni junior member
TheOne si ndo kama hivi ulivyopost hapa ila unaingia kwenye jukwaa la mapenzi au popote pale unataka ..then juu kabisa kuna sehemu pale ya New post ikiingia itakupa mwongozo wa kuendelea
karibu
 
mmh kazi ipo ila mimi nionavyo kama mtu anakula na kuongeza chakula hapo hapo let say dk 5 haitaji kwenda kuosha sahani na kijiko ila kama unajua utakula tena baada ya saa moja inabidi sahani na kijiko vyote vioshwe maana saa moja ni muda mwingi makombo yatakuwa yameanza kukaukia na kugandiana hivyo kuosha ni muhimu.

ila kama ni muda mfupi kuosha sio lazima maana hiyo sahani na kijiko navyo ukiviosha sana vinaweza kuchubuka bure. ukizingatia chakula na mboga ni ile ile, chunvi ni ile ile, na mchuzi ni ule ule labda kama unapakua pishi lingine tofauti.

ila ile ya kukaa na Thermos ya maji ya moto na kibeseni pembeni na kitaulo kidogo kuwa ukimaliza tu kula unachovya kitaulo chako kweye kibeseni cha maji ya moto unafuta sahani na kijiko chako ah, mwenyewe unatulia unasubiri kupakua tena. kama hujashiba.
 
Kama mnakula ni lazima kila mkimaliza mlo mmoja muoshe vyombo au mnaendelea kuongeza kupakua na kula, mkiwa mmeshamaliza kabisa ndiyo mnaosha vyombo? Inakuwaje kama mmoja wenu kila baada ya kula anakimbia jikoni kwenda kuosha vyombo wakati mwingine bado ana njaa?

Apenda shombo huyu mzee...
 
Apenda shombo huyu mzee...

Shombo lina raha yake ati; si kila shombo ni kadhia!:);)

Mie nikila chakula kitamu na nikapakapua mara nyingi basi ladha yake hubaki akilini kwa siku chache zitakazofuata mpaka tena nilapo chakula kile kwa mara nyingine!
 
kula na kuosha viombo ni muhimu ila iantegemea pia na uwaandaaji wa meza, ikiwa utaweka tablemates na table clothe na ukapakua chakula vizuri kisimwagike pembezoni mwa bakuli basi huna budi wakati unakula unahakikisa kila uchotapo chakula kisdondoke kwenye table mates na ikiwa kitadondoka basi tumia table cloth kufuta na wakati unendelea kumbuka kile ki table cloth kufuta mdomo kila wakati hata jirani akibisha hodi asijue ulkuwa unakula wali maharage unafuta vizuri mdomo halafu unaendelea na mlo, ikiwa utatenga chakula miloya kithungu wanasema awamu 3 yaani starter, main dish halafu desert hapo sasa ndipo unatakiwa unetoa vyombo vyote mezani na kwenda kuosha na ukimaliza wavikausha na kuviweka kabatini, hata kama ni mlo moja basi punde mshibapo futa meza, mdomo halafu osha vyombo na vikaushe virudishe kabatini usibiri tena wakati wakula.
 
Back
Top Bottom