kula na kula tena

Mimi nadhani kama mtasubiri chakula kishuke kwanza ndipo mle tena, ni bora mkasafisha vyombo hata na tishu laini kama sio maji. Vinginevyo mvifunike kwanza ili wadudu kama bakteria wasiingie na kuvichafua.

Kwa wale ambao wana uwezo wa kula haraka haraka kama mimi, wanaweza kuendelea na mlo wa pili bila kusafisha! Hii inasaidia sana hasa kama mmoja anakuwa hajashiba vizuri.
 
Wewe umesoma shule zipi? Hizi za siku hizi za FM Acamdemia? Maana unegekuwa umesoma zile zetu za Msondo Ngoma Jazz Band lazima ungeshaelewa kinachojadiliwa!
haha make fun of my language ... its just been a while...
 
thank you man for enlighten me...

sasa jamaa labda ana haraka na anataka kusaidia kukosha sahani yake kabla hajaondoka ...
Mtu yeyote mwenye haraka kwenye mlo ndio yule tunamwita kwa kimombo kuwa hana "table manners". Kwa kifupi hiyo ni tabia mbaya dadangu.
 
bht hivi hii mada kuna umuhimu wa kuiweka kwenye uhalisia zaidi ..kama ndivyo basi itabidi iende kwenye jukaa la watu wazima
hehehe mzee mwanakijiji ..katuwekea lugha gongana hapa
 
Jungu kuu..................................................!!!!!!!!!!!
 
bht hivi hii mada kuna umuhimu wa kuiweka kwenye uhalisia zaidi ..kama ndivyo basi itabidi iende kwenye jukaa la watu wazima
hehehe mzee mwanakijiji ..katuwekea lugha gongana hapa

Hamna lugha gongana hapa as such!!! mbona kila kitu kiko poa tu (unless one is under 18 as you have said)

FL1 utamu wa fasihi simulizi ni matumizi ya lugha mamii!!!! mie hapa burudani kabisa
Ila kama usemavyo akiweka kwenye ile lugha ya moja kwa moja basi ihamishwe jukwaa maana watoto watakwazika hapa!!
 
Twin simuelewi mpz! nahisi lugha anayoongea huyo dada na mm gongana!leo shemeji yako leo sijui yuko wapi!

ngoja nicheke tu hapo kwenye bold!! vingine potezea nawe!!!
kuna mahali nimemuona shem tena jiandae ni kule PJ alipokupea mchumba kuleee!!
 
Hamna lugha gongana hapa as such!!! mbona kila kitu kiko poa tu (unless one is under 18 as you have said)

FL1 utamu wa fasihi simulizi ni matumizi ya lugha mamii!!!! mie hapa burudani kabisa
Ila kama usemavyo akiweka kwenye ile lugha ya moja kwa moja basi ihamishwe jukwaa maana watoto watakwazika hapa!!

hahaha habari ndo hiyo ..kweli hii mada imegonga moyoni mala nyamayao anasema mie hapo sina la kusema
MJ1 nae anachanganyikiwa ..Kaizer anadai si lazima kuosha vyombo kijijini kwako makande yanaliwa hata awamu tano katika sahani ile ile mradi burudani tosha
lakini mwisho wa siku mie naona kama sahani lazima ikoshwe vema iwe safi inaleta raha kwa mtumiaaji !!
 
haswa. chakula bibie wake usafi
hivi ule mlo mmoja kwenye sahani kisha usiisafishe baada ya kupumua kidogo, unatia tena chakula mule mule
aaaaah wapi unaongeza ladha nyingine tofauti kwenye ladha halisi ya msosi bana!!!
 
Kama mnakula ni lazima kila mkimaliza mlo mmoja muoshe vyombo au mnaendelea kuongeza kupakua na kula, mkiwa mmeshamaliza kabisa ndiyo mnaosha vyombo? Inakuwaje kama mmoja wenu kila baada ya kula anakimbia jikoni kwenda kuosha vyombo wakati mwingine bado ana njaa?

Inategemea na jinsi mlivyokuwa mnakula hicho chakula, sometimes sio lazima kuosha vyombo mlivyovitumia na mnaweza kuendelea kupakua chakula kingine na kula tena...
 
Kama mnakula ni lazima kila mkimaliza mlo mmoja muoshe vyombo au mnaendelea kuongeza kupakua na kula, mkiwa mmeshamaliza kabisa ndiyo mnaosha vyombo? Inakuwaje kama mmoja wenu kila baada ya kula anakimbia jikoni kwenda kuosha vyombo wakati mwingine bado ana njaa?

Kula ushibe ndo ukaoshe vyombo!
 
haswa. chakula bibie wake usafi
hivi ule mlo mmoja kwenye sahani kisha usiisafishe baada ya kupumua kidogo, unatia tena chakula mule mule
aaaaah wapi unaongeza ladha nyingine tofauti kwenye ladha halisi ya msosi bana!!!

Labda wapo wanaokula kwa pupa sahani moja inaanzisha nyingine ..mpaka hamu ya chakula inakinai??
 
Back
Top Bottom