kuosha kijiko changu yes....lakini bakuli sijui linaoshaje ati
Noted with appreciation....naanza leommh we mbinafsi yakhe, wajioshea chako tu na nwenzio mlo kula nae wajifanya hujui kukosha bakuli lake??? jifunze wengine wapenda kukoshewa ati............
Simple..,si unajua tena sahani ikikaa na uchafu utakaribisha nzi na wadudu wengine wasumbufu na kile chakula kushikamana na sahani, so ni vyema sahani ioshwe ili kuandaliwa kwa kupakuliwa upya.
noted with appreciation....naanza leo
Nilijisahau kumbe tumefunga!.feedback basi jameni!!!
Nilijisahau kumbe tumefunga!.
Nitaleta feedback asap.
Sili kabisa, popote!
hahaaa mpaka mfungo uishe huh!!!
Y not....sili chochote hadi mfungo uishe...niulize kuhusu feedback kuanzia tar. 5/april/2010.
kuna watu hawaoni shobo kurudia hiyo plate bila kuoshwa mradi tu ashibishe njaa yake
...na wengine hunogewa kiasi cha kulamba vidole, kisha mwiko au bakuli!
Tetetete haha kulamba mpaka kujing'ata vile
hahaha nimecheka nimefurahi ..Kijijini kwenu inabidi ipite elimu ya afya ipite
yale mafuta ukiendelea kuyatizama kwenye sahani hukinaisha na kupoteza hamu ya kuendelea kula na hasa kuku wa kijjijini kwenu nadhani ni kama wa kijijini kwetu wamenona hawatumii madawa kuongeza vitamini ..lakini wengine sie usafi ndio hulka nyanya yangu alinifundisha sahani shurti isafishwe ili chakula kingine kiwekwe..hii ni awamu nyingine ya chakula Mkjj
Kikombe lazima kioshwe ndo uji mwingine unyweke