Kula chakula huku umesimama.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kula chakula huku umesimama....

Discussion in 'JF Doctor' started by Boflo, Aug 12, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wadau mm nimezoea kula chakula huku nimesimama (breakfast,lunch, dinner)..

  Sipendi kabisa kukaa....Kuna madhara yoyote?? Your advice plz
  MziziMkavu karibu utoe uganga wako
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Kila kitu kina heshima yake na kila kiungo cha mwili wa binadamu Mwenyeezi Mungu kakipangia kazi yake Haipendezi kabisa kula chakula huku umesimama. Ni sawasawa Mtu anayekula chakula huku anautumia Mkono wake wa kushoto kulia chakula wakati mkono wake wa kulia ni mzima kabisa pia haipendezi kabisa. mkuu Boflo Tumia akili yako .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Chakula gani?
   
 5. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  kama ni cha usiku wataalam wanashauri ule ukiwa umelala
   
 6. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kama issue ya heshima....Bora niendelee tu.....Kungekuwa na madhara ningeaza mkakati wa kuacha

  Asante MziziMkavu kwa kunitoa wac
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  sio cha kitandani PakaJimmy.......ni kifungua kinywa, mchana na istaftahi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Lakini ningelikushauri bora ule chakula huku umekaa itakuwa ni jambo bora kabisa kuliko kula huku umesimama Boflo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. S

  Smarty JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  tafuta mke uoe..ukshakuwa na familia tabia yako ya kula umesimama itakoma....imagine una mke na watoto afu unatengewa msosi mezani wenzio wamekaa we unakula umesimama hata mwanao wa kindergaten atashindwa kukushangaa..
   
 10. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ww umingia restaurants za Nairobi? wale wote wanaosimama huku wanakula hawana wake????
   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Boflo, sasa kwanini ule umesimama kwani una bawasiri....ooh mimi nakwambia punguza huo mchezo labda madhara yake hayo!
   
Loading...