Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 816
Jamani hamjambo humu, jamani nilijiunga hapa wiki 2 zilizopita ila nilikaa siku nne tu nikala BAN na ndo kwanza kifungo kimeisha. Naombeni sana muwe wastarabu msitusababishie wengine BAN. Kuna watu wana mambo ya ki K sana humu ndani wakati wanachangia thread.
MODS mi sitaki BAN tena
MODS mi sitaki BAN tena