Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,326
- 5,266
Hawa kuku nilitaka kuwauza wakiwa na week 2 kwa kupata changamoto ya banda ila nimepambana hadi nikajenga banda na sasa wanaendelea vizuri sana
Hawa kuku wananifurahisha kitu kimoja ni wagumu sana kuumwa na hata wakiumwa wana kinga thabiti sana. Hapa nangojea mwezi wa 12 niwaingize sokoni
Hawa kuku wananifurahisha kitu kimoja ni wagumu sana kuumwa na hata wakiumwa wana kinga thabiti sana. Hapa nangojea mwezi wa 12 niwaingize sokoni