Kuku aina ya sasso wakiwa na siku 52

Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,865
Points
2,000
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,865 2,000
hawa kuku nilitaka kuwauza wakiwa na week 2 kwa kupata changamoto ya banda ila nimepambana hadi nikajenga banda na sasa wanaendelea vizuri sana
hawa kuku wananifurahisha kitu kimoja ni wagumu sana kuumwa na hata wakiumwa wana kinga thabiti sana
hapa nangojea mwezi wa 12 niwaingize sokoni
 
Attachments:

Ericus Kimasha

Ericus Kimasha

Verified Member
Joined
Oct 27, 2006
Messages
488
Points
250
Ericus Kimasha

Ericus Kimasha

Verified Member
Joined Oct 27, 2006
488 250
Mie sitaki kabisa kuwasikia hao Sasso. Nilinunua vifaranga 200 kutoka kwa Nzowa Enterprises pale Kibaoni-Tegeta. Jamaa walinichanganyia umri tofauti tofauti kinyume na makubaliano. Kilichofuatia ikawa vigumu kujua yupi amepata chanjo ipi; na ipi au yupi hajapata. Waliopoanza kuugua, nilirudi Nzowa kuwaeleza tatizo la vifaranga walivyoniuzia lakini hawakunipa ushirikiano wala msaada wowote. Vifaranga walipukutika mpaka nikachanganyikiwa. Waliofikia umri wa mauzo ni 83 tu!
 
K

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Messages
1,692
Points
2,000
K

Kimla

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2008
1,692 2,000
Mie sitaki kabisa kuwasikia hao Sasso. Nilinunua vifaranga 200 kutoka kwa Nzowa Enterprises pale Kibaoni-Tegeta. Jamaa walinichanganyia umri tofauti tofauti kinyume na makubaliano. Kilichofuatia ikawa vigumu kujua yupi amepata chanjo ipi; na ipi au yupi hajapata. Waliopoanza kuugua, nilirudi Nzowa kuwaeleza tatizo la vifaranga walivyoniuzia lakini hawakunipa ushirikiano wala msaada wowote. Vifaranga walipukutika mpaka nikachanganyikiwa. Waliofikia umri wa mauzo ni 83 tu!
NZOWA ENTERPRISE NI MATAPELI WAKUBWA SANA HAPA DAR ES SALAAM.NASHAURI WATU WASIENDE KUPATA HUDUMA KWA HAWA
 
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,865
Points
2,000
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,865 2,000
hao nimenunua hapo hapo mkuu na hao walikuwa 200 waliokufa hadi sasa ni 10 hadi sasa wanaendelea vyema kama unavyoona .
hao jamaa wana branch pale ubungo na nilinunua wa malawi 250 ambao wana miezi minne sasa walinichanganyia walivyofika wakaanza kuza hovyo vifaranga 30 ndani ya week sikukubali niliwarudia kwa ukali wakamtuma daktari wao akaja kucheck mazingira nayofugia ila hakukuta kasoro ilibidi wanifidie vifaranga waliokufa......
 
S

sikalwanda junior

Member
Joined
Oct 9, 2016
Messages
15
Points
45
Age
24
S

sikalwanda junior

Member
Joined Oct 9, 2016
15 45
HAkuna kampuni nyingine yenye kuuza vifaranga vya nzowa? msaada wen wana jamvi
 
N

Ndelyaukiwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2016
Messages
254
Points
500
Age
28
N

Ndelyaukiwa

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2016
254 500
hao nimenunua hapo hapo mkuu na hao walikuwa 200 waliokufa hadi sasa ni 10 hadi sasa wanaendelea vyema kama unavyoona .
hao jamaa wana branch pale ubungo na nilinunua wa malawi 250 ambao wana miezi minne sasa walinichanganyia walivyofika wakaanza kuza hovyo vifaranga 30 ndani ya week sikukubali niliwarudia kwa ukali wakamtuma daktari wao akaja kucheck mazingira nayofugia ila hakukuta kasoro ilibidi wanifidie vifaranga waliokufa......
Baada ya hapo umewakuzaje mkuu mi nlichukua 200 wamebak 30 tu wana miez mitatu, chanjo zote nimewapa naamka tu nakuta wamekufa
 
Msafirishaji

Msafirishaji

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2016
Messages
1,286
Points
2,000
Msafirishaji

Msafirishaji

JF-Expert Member
Joined May 28, 2016
1,286 2,000
hao nimenunua hapo hapo mkuu na hao walikuwa 200 waliokufa hadi sasa ni 10 hadi sasa wanaendelea vyema kama unavyoona .
hao jamaa wana branch pale ubungo na nilinunua wa malawi 250 ambao wana miezi minne sasa walinichanganyia walivyofika wakaanza kuza hovyo vifaranga 30 ndani ya week sikukubali niliwarudia kwa ukali wakamtuma daktari wao akaja kucheck mazingira nayofugia ila hakukuta kasoro ilibidi wanifidie vifaranga waliokufa......
Swali LA mtu wa kwanza unawalisha nn mbona kama umelikimbia mkuu
 
Remmy

Remmy

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2009
Messages
4,711
Points
1,250
Remmy

Remmy

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2009
4,711 1,250
hawa kuku nilitaka kuwauza wakiwa na week 2 kwa kupata changamoto ya banda ila nimepambana hadi nikajenga banda na sasa wanaendelea vizuri sana
hawa kuku wananifurahisha kitu kimoja ni wagumu sana kuumwa na hata wakiumwa wana kinga thabiti sana
hapa nangojea mwezi wa 12 niwaingize sokoni
Mimi nami nilisikia sifa zake nikawanunua january 21 wakiwa wa day one, vifaranga vilikuwa vikubwa mpaka raha...nikawapa chanjo zote kwa kufuata taratibu zinazoshauriwa. Lakini mwezi wa 6 walipukutika kama maji kwa ugonjwa wa mafua...hawakusilia dawa wala nn..ikinifanya nikate tamaa.

wale waliobaki hawajataga mpaka leo.

kwa uchunguzi wangu si wavumilivu kwa magonjwa wala njaa!!

sitaki kabisa kuwasikia hawa kuku..wa malawi wako vizuri sana.
Nitaendelea kuwafuga wa malawi
 
Remmy

Remmy

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2009
Messages
4,711
Points
1,250
Remmy

Remmy

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2009
4,711 1,250
Mie sitaki kabisa kuwasikia hao Sasso. Nilinunua vifaranga 200 kutoka kwa Nzowa Enterprises pale Kibaoni-Tegeta. Jamaa walinichanganyia umri tofauti tofauti kinyume na makubaliano. Kilichofuatia ikawa vigumu kujua yupi amepata chanjo ipi; na ipi au yupi hajapata. Waliopoanza kuugua, nilirudi Nzowa kuwaeleza tatizo la vifaranga walivyoniuzia lakini hawakunipa ushirikiano wala msaada wowote. Vifaranga walipukutika mpaka nikachanganyikiwa. Waliofikia umri wa mauzo ni 83 tu!
Hata mimi sina hamu nao...niliwanunua ubungo darajani wamepukutika karibia wote, waliobaki hawajataga mpaka leo miezi tisa sasa...mpaka nawaza ni wanyama hawa?? nimeona nijifugie kwaajili ya mayai kwa mwanangu tu lkn sio biashara
 
kijana wa leo

kijana wa leo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2011
Messages
2,601
Points
2,000
kijana wa leo

kijana wa leo

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2011
2,601 2,000
Hiyo sio mbegu bora ya kuku, ni bora ukafuga pure wa kienyeji wanavumilia sana magonjwa na hata tiba inawasaidia wakipatwa na magonjwa. Mimi nilinuua vifaranga 25 vikiwa na miezi mi 2 - 3, vimeniletea matokeo mazuri sana.
 
mbota

mbota

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Messages
792
Points
250
mbota

mbota

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2012
792 250
Na je sasso kutoka silver land iringa wapo vipi ?? Magonjwa na ustahimilivu maana Naona wanawauza sana
 
Ericus Kimasha

Ericus Kimasha

Verified Member
Joined
Oct 27, 2006
Messages
488
Points
250
Ericus Kimasha

Ericus Kimasha

Verified Member
Joined Oct 27, 2006
488 250
Na je sasso kutoka silver land iringa wapo vipi ?? Magonjwa na ustahimilivu maana Naona wanawauza sana
Sasso wanaozalishwa na Silverland ndo hao wanaosambazwa na Nzowa Enterprises!
 
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
12,328
Points
2,000
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
12,328 2,000
Hiyo sio mbegu bora ya kuku, ni bora ukafuga pure wa kienyeji wanavumilia sana magonjwa na hata tiba inawasaidia wakipatwa na magonjwa. Mimi nilinuua vifaranga 25 vikiwa na miezi mi 2 - 3, vimeniletea matokeo mazuri sana.
Wa kienyeji pure ntawapata wapi mkuu??
 
Forum statistics

Threads 1,293,768
Members 497,735
Posts 31,152,760
Top