Kuku aina ya sasso wakiwa na siku 52

Dengue

Dengue

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Messages
1,797
Points
2,000
Dengue

Dengue

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2012
1,797 2,000
Hawa Sasso nahisi huwezi kuwatenganisha na ugonjwa wa mafua. Tena huwa wanayapata wakiwa na umri wa miezi minne na kuendelea. Ni kuku wa kijinga sana. Hata bure siwataki.
 
mbota

mbota

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Messages
793
Points
250
mbota

mbota

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2012
793 250
Pure kienyeji agizia dodoma au singida
Mkuu Singida pia kuwa makini unaweza kuagiza huku ukaambulia hasara kabisa wenyeji wa huku Mara nyingi huuza kuku akiwa na tatizo labda upate kwa mkulima unaye mwamini na sivinginevyo usije ukaenda kununua kuku wakufuga sokoni. Tuwa makini wakulima wenzangu, kuna hasara zinazoweza kuepukika .
 
mbota

mbota

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Messages
793
Points
250
mbota

mbota

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2012
793 250
Sasso wanaozalishwa na Silverland ndo hao wanaosambazwa na Nzowa Enterprises!
Sawa mkuu Mimi niliwachukua 100 wa umri wa siku moja kuna baadhi ya changamoto nami nimezi pata kama wakulima wenzangu walivyo eleza hapa.

Pia nilikuwa na mpango wa kuchukua wale kuku wa silver land wa mayai kuna MTU amewajaribu ?
 
M

MZEE RAZA

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Messages
2,426
Points
2,000
M

MZEE RAZA

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2015
2,426 2,000
Hawa Sasso nahisi huwezi kuwatenganisha na ugonjwa wa mafua. Tena huwa wanayapata wakiwa na umri wa miezi minne na kuendelea. Ni kuku wa kijinga sana. Hata bure siwataki.
Mkuu vp kuhusu kuku KUROILER??
 
DE FULE

DE FULE

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Messages
1,153
Points
2,000
DE FULE

DE FULE

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2013
1,153 2,000
hao nimenunua hapo hapo mkuu na hao walikuwa 200 waliokufa hadi sasa ni 10 hadi sasa wanaendelea vyema kama unavyoona .
hao jamaa wana branch pale ubungo na nilinunua wa malawi 250 ambao wana miezi minne sasa walinichanganyia walivyofika wakaanza kuza hovyo vifaranga 30 ndani ya week sikukubali niliwarudia kwa ukali wakamtuma daktari wao akaja kucheck mazingira nayofugia ila hakukuta kasoro ilibidi wanifidie vifaranga waliokufa......
"Kwa Ukali".

Nimependa hapo, bila hvyo watu watakuchezea sana!
 
K

kiliochangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
1,160
Points
2,000
K

kiliochangu

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
1,160 2,000
Kwa maelezo yenu Kuku wa Kienyeji ni bora Zaidi kufuga na pia ni bora kwa afya zetu. Ebu turudi tulipotoka tuachane na technology sizizoeleweka.
Mi niliacha kula kabisa wala kutumia mayai ya kuku wa kisasa baada ya kuona jirani yangu anawatunza week 6 wanaenda kuuzwa then nilipocheck kuku wa kienyeji week sita yupoje ndipo nilipofanya hesabu zangu mwenyewe na kujua kula hawa kuku ni kujiletea madhara mwilini mwetu. Ila sijaelewa kwanini hatuwekwi wazi.
 
relis

relis

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Messages
2,192
Points
2,000
relis

relis

JF-Expert Member
Joined May 24, 2015
2,192 2,000
Hawa sasso ndo hao wanaoitwa chotara mbona nachanganyikiwa
 
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,865
Points
2,000
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,865 2,000
niliwalisha stater mwezi mmoja sasa nawalisha grower mwezi na mwezi wa tatu nawalisha finisher ...
kuku wako vizuri sana napingana na hao wanaosema hawafai tena nawafungulia nje kwa sasa na ninawapa chakula mara tatu kwa siku
kuku unatakiwa ujali usafi na uwe karibu nao

kwangu nafuga aina tatu za kuku
1.malawi
2.kienyeji pure croos na israel
3.sasso

katika wote nimewakubali sana sasso na hao israel malawi nimewachukia kwasababu wanakufa kwa kunya chokaa na wanakula kupitiliza japo bado ninao
 
M

mtotowamamanjungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2016
Messages
351
Points
500
Age
27
M

mtotowamamanjungu

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2016
351 500
Naombeni nisaidieni namba za ao wauzaji
 
Ngushi

Ngushi

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
8,733
Points
2,000
Ngushi

Ngushi

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
8,733 2,000
niliwalisha stater mwezi mmoja sasa nawalisha grower mwezi na mwezi wa tatu nawalisha finisher ...
kuku wako vizuri sana napingana na hao wanaosema hawafai tena nawafungulia nje kwa sasa na ninawapa chakula mara tatu kwa siku
kuku unatakiwa ujali usafi na uwe karibu nao

kwangu nafuga aina tatu za kuku
1.malawi
2.kienyeji pure croos na israel
3.sasso

katika wote nimewakubali sana sasso na hao israel malawi nimewachukia kwasababu wanakufa kwa kunya chokaa na wanakula kupitiliza japo bado ninao
afadhali wewe umenipa moyo kidogo,nilivyosoma comments za watu kuhusu sasso nikawa nachanganyikiwa!

Nilinunua iringa kama 100 mpaka sasa wanaendelea vizuri kabisa
 
N

nezythee

Member
Joined
Aug 19, 2016
Messages
25
Points
45
Age
49
N

nezythee

Member
Joined Aug 19, 2016
25 45
unajua watu wanapenda kukurupuka kulea vifaranga kuna htaj tahadhali ya hali ya juu,andaa mazingira kwanza kabla ya kuanza fanya survey uone wenzio wanafanyaje jipe mda wa kujifunza den ndo uanze ukiandaa mazingira vzur utafurah na ukikurupuka utachukia kila breed tujipe muda wa kujifunza wajameni
 
M2baki

M2baki

Member
Joined
Feb 25, 2013
Messages
52
Points
125
M2baki

M2baki

Member
Joined Feb 25, 2013
52 125
unajua watu wanapenda kukurupuka kulea vifaranga kuna htaj tahadhali ya hali ya juu,andaa mazingira kwanza kabla ya kuanza fanya survey uone wenzio wanafanyaje jipe mda wa kujifunza den ndo uanze ukiandaa mazingira vzur utafurah na ukikurupuka utachukia kila breed tujipe muda wa kujifunza wajameni
Kweli kabisa, kulea vifaranga wa siku 1 kunahitaji utaalamu sana. Mbeya huwa tunanunua wa mwezi 1.hao hata asiye na utaalamu mkubwa anaweza watunza,
 
Forum statistics

Threads 1,293,773
Members 497,735
Posts 31,153,050
Top