Kukosolewa. . . .

Kukosolewa. . . .

Kweli aisee ila sababu tushajua watu hawapendi kukosolewa au wanajisikia vibaya wanapokoselewa, tujitahidi kutumia namna nzuri ya kumrekebisha mtu ili asijisikie vibaya.
Tena wewe nitakukosoa hadi utoke MAGAMBA...:eyebrows:
 
Mimi kwa kweli kukosolewa huwa sikwaziki na wakati mwengine huwa nina hamu hasa.

Lakini kusema ukweli huwa " na kupigwa butwaa" na baadhi ya majibu ya watu saa nyengine. Watu kila kitu wanakichukulia "personal"

Sometimes taking things personal is unavoidable. After all, behind most of these fake names are real people with real human qualities i.e. feelings. If we were robots may be it would have been much easier to avoid taking some of the things to heart. But we are not robots.
 
Oh yeah?

Anywho, huu uzi umedhihirisha zaidi tu kuwa binadamu ndivyo tulivyo. Makosa na mapungufu ya wenzetu tunayaona kirahisi sana kuliko vile ambavyo tunayaona ya kwetu wenyewe.

Ohhh yeahhh.

Ila ni kweli unayosema kwasababu watu hua wahajiangalii vile wanavyoangalia/angaliwa na wengine. Kwa mfano wewe. . . najua kwamba you can be pretty mean at times but I also know that I can aswell. Najua ni mchokozi na mkorofi na wakati mwingine likitokea tatizo mimi ndo naweza kua nilianzisha. Na kwa kujua hayo naweza kuchagua kama niwe hivyo au nisiwe. . . which is good maana akitokea mtu akanieleza kwamba nilichofanya/sema sio sitaona/lalamika kwamba naonewa kwasababu ukweli naujua.
 
Binadamu tunatofautiana uelewa na hata experiences. Unachokijua wewe basi amini kuna wanaojua zaidi yako. Una hiki mwenzako ana kile, huna kile mwenzako ana hiki, au nyote mwaweza msijue ila mkaelimishwa na the third party. Why ukatae challenges? Kwangu mimi kukosolewa/kubishiwa and/or whatever kind of critisism, nachukulia as a way of learning na inanisaidia pia kuwaelewa hata wale wanaonikosoa kwa nia mbaya!! Nakubali na wala sichukii kukosolewa.
 
Is he delivering that message to someone au labda mimi na wewe NN uelewa wetu ndio sio mzuri.

He could very well be...coz many times when people write cryptic comments like that they aim it at someone.
 
Daah afadhali bana..maana nilishaanza kujidhania labda mimi IQ yangu haijavuka vidato!

Kuna mada aliweka akisema kwamba furaha ya mwanameni bwana (mume) na kwamba wasiotaka ndoa hua wanaishia kupata frustration. . .wako tayari kuzaa na waume wa watu. . umri umeenda na mengine mengi Pia hua wanatumia mbadala wa kua kina "come stay" nikapingana nae kwamba frustration haziko kwenye dunia ya usingle na wala sio kila asitaka kuolewa anafanya hivyo kupambana na mfumo dume. Tukaendelea mpaka akarudi na kusema kwamba hata "come stay " ni ndoa wakati nyuma alisema hiyo ndio mbadala ya wale wapingaji ndoa and so so. Sasa naona kumwonyesha kwamba aliyokua anasema yalikua yanapingana haikumpendeza.
 
Kama huoni hasara kwa nini kila siku unalalamika mara uchumi mara umeme mara ohh sijui nini.
Kwa sababu imekutenga kama mtoto wa kambo ndo mana unajidai huipendi lakini deep inside unatamani ikupende kwa kukuhakikishia unapata huduma zote muhimu!

Hii ni sizitaki mbivu hizi.

Serikali gani hiyo!? Kama ni hii hii ya Tanzania, sioni hasara
 
Ohhh yeahhh.

Ila ni kweli unayosema kwasababu watu hua wahajiangalii vile wanavyoangalia/angaliwa na wengine. Kwa mfano wewe. . . najua kwamba you can be pretty mean at times but I also know that I can aswell. Najua ni mchokozi na mkorofi na wakati mwingine likitokea tatizo mimi ndo naweza kua nilianzisha. Na kwa kujua hayo naweza kuchagua kama niwe hivyo au nisiwe. . . which is good maana akitokea mtu akanieleza kwamba nilichofanya/sema sio sitaona/lalamika kwamba naonewa kwasababu ukweli naujua.

Am I really that mean? If I am then I'll take that as a compliment because I thought I was I ruthlessly vicious...but I'll take mean over ruthless and vicious....lol.

But I'm glad you admit that you are mischievous.
 
Sometimes taking things personal is unavoidable. After all, behind most of these fake names are real people with real human qualities i.e. feelings. If we were robots may be it would have been much easier to avoid taking some of the things to heart. But we are not robots.

Lakini pia tunatakiwa kuzingatia kuwa hapa tunasoma maneno tu. Hakuna intonation, facial expression wala body language ya kusaidia kufikisha ujumbe.

While most people here might consider a person radical, people in the non virtual world might consider the same person using the same words fun or easygoing.
 
Nimeanza kuelewa, mmeuzunguka mbuyu weeeee, mwisho tumeukumbatia, haya.

Kuna mada aliweka akisema kwamba furaha ya mwanameni bwana (mume) na kwamba wasiotaka ndoa hua wanaishia kupata frustration. . .wako tayari kuzaa na waume wa watu. . umri umeenda na mengine mengi Pia hua wanatumia mbadala wa kua kina "come stay" nikapingana nae kwamba frustration haziko kwenye dunia ya usingle na wala sio kila asitaka kuolewa anafanya hivyo kupambana na mfumo dume. Tukaendelea mpaka akarudi na kusema kwamba hata "come stay " ni ndoa wakati nyuma alisema hiyo ndio mbadala ya wale wapingaji ndoa and so so. Sasa naona kumwonyesha kwamba aliyokua anasema yalikua yanapingana haikumpendeza.
 
Upo Lizzy?
flower.gif
 
Back
Top Bottom