Dah!! Kudadekii hii thread inaambaa, aisee Lizzy hii thread yako inanimaliza bandwidth...lol
Copy moja nitaweka kwenye wall ya profile langu, Dah! halaf mimi bana nikipenda inakuwa balaa, hakyanani vile jana sikio langu nimeliweka ka tatoo kadooogo kanasomeka lizzy. Mapenzi yanauwa wajameniHahahah. . . Nacopy hii niwatumie PM wale wadada wanaokufukuzia.
mimi (MARYTINA)hata mtu anikosea kivipi I never treat him/her as my adui.Kwanini kwenye jamii yetu watu hua wanapenda kuungwa mkono/kusifiwa hata pale wanachosema/fanya sio sahihi?
Nauliza kwasababu nimeona sana huku mitaani pia hapa JF. Yani mtu ukimkosoa anadhani/fikiri unamchukia, kwasababu tu hukubaliani na kile anachosema/amini. Je wewe mtu akikukosoa unachukia? Unadhani huyo mtu hakupendi?
Nasikitika kweli kuwa na watu wa aina hii kwenye jamii yetu maana kwa kutokua open minded and open to criticism wanapunguza wigo wa kujifunza. Mtu anapokukosoa/pinga unachojaribu kumweleza sio kwamba hakupendi bali anakupa wewe nafasi ya
kumcomvince/mweleza kwa undani kwanini unaamini
hicho unachosema hivyo chukua hiyo nafasi ya
kupanua uelewa wa huyo mtu mwingine from your point of view badala ya kununa.
Nafikiri hapo kwenye blue ndio inachangia hasaNadhani ni kwasababu watu hawakuelewi na wala hawajaribu kukuelewa. Wameshajenga hiyo picha ya machino na hawataki kuachia. . . kiasi kwamba hata ukisema kitu kisichobeba ubaya bado watauona ubaya.Kama yule jamaa wa juzi na swali la "we una mtoto" .
Hi NNVery good analysis. But no sushi or a cold one for you. You only get a bag of laffy taffies.
Lakini pia tunatakiwa kuzingatia kuwa hapa tunasoma maneno tu. Hakuna intonation, facial expression wala body language ya kusaidia kufikisha ujumbe.
While most people here might consider a person radical, people in the non virtual world might consider the same person using the same words fun or easygoing.
Copy moja nitaweka kwenye wall ya profile langu, Dah! halaf mimi bana nikipenda inakuwa balaa, hakyanani vile jana sikio langu nimeliweka ka tatoo kadooogo kanasomeka lizzy. Mapenzi yanauwa wajameni
Hi NN
unawaonaje Ant-clouds???
Let's make it 3...and call them the dynamic trio...yourself included. Lol
Umeona eeh? That's why you are my dude! I owe you a cold one next time I'm in town!
Wee, kuna kila kitu intonation, facial expression kwenye maneno.
Nikiandika ''Acha'' nakuambia usufanye kitu kwa kawaida.
Lakini nikiandika ''ACHAAAA!" ninakuwa nashout, na nimekunja uso sana.
i am ant-pro clouds but i only hate jamaa mmoja hapa JF nijiitalo Mohamed Shosshi.I am anti-anti-Clouds. I am anti-vinega.
Halooooo haloooo. .
Waliosema na waseme sasa.Kama ni mwanaume nimepata nae mwanamke kampata.Wenye wivu wajinyonge.
Kwanini kwenye jamii yetu watu hua wanapenda kuungwa mkono/kusifiwa hata pale wanachosema/fanya sio sahihi?
Nauliza kwasababu nimeona sana huku mitaani pia hapa JF. Yani mtu ukimkosoa anadhani/fikiri unamchukia, kwasababu tu hukubaliani na kile anachosema/amini. Je wewe mtu akikukosoa unachukia? Unadhani huyo mtu hakupendi?
Nasikitika kweli kuwa na watu wa aina hii kwenye jamii yetu maana kwa kutokua open minded and open to criticism wanapunguza wigo wa kujifunza. Mtu anapokukosoa/pinga unachojaribu kumweleza sio kwamba hakupendi bali anakupa wewe nafasi ya
kumcomvince/mweleza kwa undani kwanini unaamini
hicho unachosema hivyo chukua hiyo nafasi ya
kupanua uelewa wa huyo mtu mwingine from your point of view badala ya kununa.[/QUOTE
Nafikiri kwenye jamii yetu bado watu hatuelewi maana ya kukosoa.
Wengi wetu badala ya kumkosoa mtu unamshushua au sijui tuseme unamzodoa.
Mfano hata hapa jf mtu anaposema jambo mtu asipokubaliana nalo utasikia kilaza,masaburi,rudi facebook na mambo mengi na especialy ikiwa ni ID mpya.
Kwa hiyo swala la kukosoa lenyewe bado ni tatizo mtu anafikiri kumshushua mtu ndio kumkosoa.
Lakini kutokukubalina na kutoa sababu kwa nini hukubaliani kwa mwenye akili timamu hawezi kuwa na tatizo lakini wengi wetu mtu bila kumwambia neno la kudhalilisha anaona hajakosoa.