Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

Kuna mtu anasumbuliwa na Tatizo la kukoroma lililo pitiliza... Hii inamkosesha raha hata akiwa amelala na mpenz wake. Jaman ds s seriously msaada plz...!!

Mkuu hii inawatokea zaidi watu mabonge bonge na wazembe, Mwambie huyo mtu afanye mazoezi sana,Anywe maji kabla ya kulala na asijikunje akiwa amelala (anapaswa alale kwa kujinyoosha)

Naamini litaisha hilo tatizo.
 
Hakuna dawa. Asipopunguza uzito ataingia kwenye sleep apnea na anaweza kuzimika usingizini anytime. Aanze kutembea nusu saa kila siku na afanye mazoezi mengine. Naamini atakuwa OK!
 
kukoroma si ugonjwa... kama ni kukoroma kusiko kwa kawaida hebu amwome daktari amchunguze koo, kama ni kwa kawaida basi awe analala chali tena aweke mto chini ya kichwa ili kufungua njia ya hewa.. awe anafanya mazoezi kidogo yakumfanya atumie pumzi nyingi mfano swimming..
 
Distanc ya shingo ni fupi sana kutokana na umbo kubwa kitaalamu inaitwa unenelicious.

Mwambie kila siku jioni akimbie au afanye mazoezi bila kuacha au kupunguza unenelicious na mafuta.
 
Mke wangu ana ujauzito wa miezi 3 tatizo anatapika sana,kiasi kwamba wakati mwingine anabaki kukoroma kama kuku aliyekabwa.Kwa sasa yuko dhaifu mno mpaka naogopa.Kwa anayejua dawa ya kutuliza/kutibu anijuze ili nikaitafute sasa hivi!
 
uTAKAPOPEWA USIACHE KUULIZIA KWA DACTARI AU PHAMARCY YENYE WATAALAMU MAANA KWWA HALI YAKE YA UJAUZITO SIO KUPEWA DAWA NA KUINYWA WITHOUT UTAFITI...OK BEST DAWA KWA HALI YAKE NI NOSIC...AENDE PHAMARCY WAMWANDIKIE HIZO...ZITAKATA HIYO HALI NA KURUDI KATIKA HALI YAKE VIZURI...POLE MKUU HALI HIYO SIO MCHEZO
 
Hilo ulioko hakina Hata zahanati? Acha kupuuza fani za wenzio, bends na mgonjwa kumwona daktari. Usimfanye mtoto wa wenzio guinea pig kwa kujaribisha Tina halafu akiishia zake ukawaumiza ndugu zake. Hilo tatizo linadhibitika hospitalini. Tuepuke siasa kwenye Afya za Watu.
 
uTAKAPOPEWA USIACHE KUULIZIA KWA DACTARI AU PHAMARCY YENYE WATAALAMU MAANA KWWA HALI YAKE YA UJAUZITO SIO KUPEWA DAWA NA KUINYWA WITHOUT UTAFITI...OK BEST DAWA KWA HALI YAKE NI NOSIC...AENDE PHAMARCY WAMWANDIKIE HIZO...ZITAKATA HIYO HALI NA KURUDI KATIKA HALI YAKE VIZURI...POLE MKUU HALI HIYO SIO MCHEZO

Nashukuru naenda sasa hivi dukani kununua hiyo nosic,majibu nitakupa!
 
Nashukuru naenda sasa hivi dukani kununua hiyo nosic,majibu nitakupa!

mpeleke mkeo hospital wakajue sababu na matibabu yake,hivi unajua madhara yatokanayo na kutapika exccessively hvyo,.hiyo dawa unayoenda kuinunua unajua inafanyaje kazi,indication ya matumiz na side effects zake?
 
Dispensaries ameenda za kutosha majibu ni kwamba hiyo ni hali ya kawaida.Hospitali ya wilaya alienda wiki nzima hakuhudumiwa wahudumu walikuwa na vikao.Pia maabara majibu ni mtihani.
 
Wanajf nawashukuru sa-a-a-a-na,dawa mliyonishauri alipewa vidonge 10 ajabu alipotumia viwili vya mwanzo tu kutapika kumekata.
 
Mke wangu ana ujauzito wa miezi 3 tatizo anatapika sana,kiasi kwamba wakati mwingine anabaki kukoroma kama kuku aliyekabwa.Kwa sasa yuko dhaifu mno mpaka naogopa.Kwa anayejua dawa ya kutuliza/kutibu anijuze ili nikaitafute sasa hivi!

Acha masikhara kaka mpeleke mkeo kituo cha afya, kama angekuwa ni dada yangu ningeshakutandika makofi ya uhakika. Eti "anakoroma kama kuku"!!
 
Habari wana jf naomba mnisaidie nifanyaje au nitumie dawa gan? Niache kukoroma ikizingatia mimi mtoto wa kike naomba nijue na chanzo cha kukoroma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom