Kukopeshana kunasababisha tupoteze sana Marafiki

Kukopeshana kunasababisha tupoteze sana Marafiki

Mie kuna mmoja nilikopesha laki tatu ya kodi aisee mpaka leo sijaona hela niliambulia kula mbususu mara moja tuu
Hahaa mi nilimkopesha manzi 200k ya kodi hivyo hivyo akawa ananitega anipe mbususu tumalizane

Nimkomalia akanilpa yote japo kwa awamu. Nilitaka ajifunze kitu kwenye maisha

Wanawake sio wa kuwakopesha wao wanawaza mtalipana kwa yeye kukutunuku mbususu
 
Wakuu habarini za wakati huu...

Moja kwa moja kwenye mada. Nimegundua kwamba moja ya sababu kubwa inayotufanya tupoteze marafiki zetu ni hii tabia ya kukopeshana. Sasa hivi nimejiwekea misimamo kabisa kwamba sitamkopesha mshkaji kama sina uwezo wa kumsamehe asiponilipa.

Yaani ni afadhali akija kunikopa basi nisimkopeshe bali nimsaidie tu. Kwasababu ukimkopesha ukawa na matarajio kwamba atakulipa halafu asipokulipa basi ni lazima urafiki wenu utaharibika. Lakini ukimkopesha halafu ukajiwekea moyoni kwamba akikulipa sawa, asipokulipa pia sawa, walau unaweza ukaunusuru urafiki wenu ikitokea hajakulipa kwasababu utakuwa umeshajiandaa kisaikolojia.

Leo ni tarehe 01/07 na mshkaji aliniahidi atalipa pesa yangu tarehe 26 mshahara ukitoka ila yupo kimya mpaka sasa, tunakutana, tunapiga story ila anavunga kama hakuna kilichotokea!

Nimekuja kujipumzisha kwenye Bar moja hapa Mikocheni namuona anaagiza tu pombe na ma-slay queen 2, kwasababu hajaniona nikamtext, "wapi mwana?", amejibu hivi, "My G, nipo maghetoni nimejilaza najitafuta, vipi nipe code basi".

Hajui namuona hapa. Halafu hii ni mara ya pili nakutana na scenario za namna hii kwa marafiki 2 tofauti. Anyway, acha iendelee kunyesha tuone panapovuja.



Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
KAMA MARAFIKI MNAZINGUANA HIVI SIPATI PICHA PESA X, CASH X, MKOPO WAKO, BRANCH SIJUI WANAPITIA HALI GANI WANAVYOKOPESHA WATANZANIA
HIVI KWELI WANALIPWA? ILA WANAMOYO SANA
😂
 
Hahaa mi nilimkopesha manzi 200k ya kodi hivyo hivyo akawa ananitega anipe mbususu tumalizane

Nimkomalia akanilpa yote japo kwa awamu. Nilitaka ajifunze kitu kwenye maisha

Wanawake sio wa kuwakopesha wao wanawaza mtalipana kwa yeye kukutunuku mbususu
Alafu wanakuja kutusumbua hapa jf oh mbususu haiuzwi wala sio bure...nyambaf wanatuuzia mbususu tuu hamna lolote. Bahati yao mbususu zao tamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom