Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 15,004
- 35,491
Wee mpige picha alafu mtumie.Ngoja kapombe kakolee [emoji1], atachora chini leo [emoji16].
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wee mpige picha alafu mtumie.Ngoja kapombe kakolee [emoji1], atachora chini leo [emoji16].
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
[emoji1787]Pesa yako ulishajilipa.Mie kuna mmoja nilikopesha laki tatu ya kodi aisee mpaka leo sijaona hela niliambulia kula mbususu mara moja tuu
Sikopeshi tena toka nilikopesha laki tatu nikaambilia mbususu demu akiomba kukopa namuomba mbususu direct hataki akwende zakeUsimpe. Akienda kuliwa ni juu yake. Au mpe kama msaada tu usije mdai.
Kwa maana yako hiyoHela zenyewe zinakuwa kubwa kwake lakini kwangu ndogo tu, kwa hivyo naona kama ameuwekea bei urafiki wetu.
Pengine ni shida tu, napotezea tu. Hela ndogo hizi haziniumizi kichwa , ni yeye tu na umasikini wake.
Mkuu, jamaa alikuja mwenyewe akasema nimkopeshe sio nimpe, na hiyo tarehe 26 aliipendekeza mwenyewe sio mimi. Sikuwa na sababu ya kumwambia nampa wakati ameomba nimkopeshe.Na kwa nini umukopeshe rafiki,kama MTU ni rafiki yako unampa tu au unamwazima unamwambia siku ukiwa vyema utanirudishia.
Kama MTU ni rafiki yako unamjua akikuambia nitakurudishia siku Fulani basis wewe kua free mweleze rudisha siku ukiwa nayo,mkianza kuwekeana muda asipotimiza ndio yanakuwa mengine.
[emoji23][emoji23][emoji23]Sikopeshi tena toka nilikopesha laki tatu nikaambilia mbususu demu akiomba kukopa namuomba mbususu direct hataki akwende zake
Hatari alafu mbaya nilimnyima bby mama present nzuri nikamkopesha yule bwege[emoji1787]Pesa yako ulishajilipa.
Triple [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Oyaaa weeee..
Alikua anakuchukuliaje huyo...??
Mbona kakuchukulia kinyonge sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Soon inakuja triple
Mimi nabadilika kama upepo wa kisulisuli.Kwa maana yako hiyo
Wee ni wa kufanyiwa hivyo hivyo double double standard...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitoa unapata zaidi na zaidi
Yes simple formula hapo huna cha kupoteza.....yani i mean you have nothing to lose [emoji23][emoji23]
Your opinion is not my reality.Ameshangaa unalalamika kama Mwanamke kwa jambo ambalo umemfanyia rafiki yako kuna kumsimanga humu ndani
Kiranga walimchukuliaje sijui an mtu akaja na mara ya pili 😂😂😂😂😂😂
Mzee wako alikuwa na madini sana. Na mimi naichukua hii.Mm neno sina nilifundishwa na baba yangu mzazi japo alinikuza kwenye kusaidia na kutambua shida za watu ila alichonambia ni kutotoa hela kwa mtu unaetaka kuendelea kuwa nae. Na kingine hakuna tuzo wala faida unapata ukikopesha masela au rafiki na muda mwingine marafiki wapo kwenye maisha yetu kwaajili ya vitu fulani.
Asante. Sitakaa nirudie tena mkuu.Ujinga wakati wa kwenda tu....Pole. Wakat ujao usirudie kukopesha.
umaskini mkuu... kuna watu 10k tunaichukulia serious sanawabongo wanatoka imani kwa hela ndogo sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]oya ile hela nliokulipa embu nigei tulipie hii bili iliobaki af kesho mchongo unatiki chap nakutoa.
Anakulipa then unakopwa hiyo hiyo ela [emoji23][emoji23][emoji23]
Uko sahihi kabisa mkuu.Hao ndio binadamu bora uwe mbaya tuu kwenye masuala ya pesa
Mimi nikishakuweka kwenye circle yangu ya ndani nakuwa na imani sana na mtu.Kiranga walimchukuliaje sijui an mtu akaja na mara ya pili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Swali zuri sana mkuu.Haya kasema atakuletea mda flani.
Lakini yeye hakuleta kwa mda huo...
Unafanyaje hapo