Kukopeshana kunasababisha tupoteze sana Marafiki

Kukopeshana kunasababisha tupoteze sana Marafiki

Mimi nabadilika kama upepo wa kisulisuli.

Naweza kuchukua jukumu kama fogo, halafu naweza kumute kama fukara.

Ila wabongo wanatoka imani kwa hela ndogo sana.
😂😂😂😂😂 Tunatafuta kwa hali ngumu..
Hivyo inavotokew hali kama hiyo daah unaelewa how mtu ana feel..

Mtu ambaye ni don't care kwa pesa zake basi huyo ana mapesa mengi mnoo....
 
Niliwahi andika kitu kama cha mtoa mada hapa pia..

Neno 'SINA', nimekuja gundua linadumisha sana urafiki kuliko neno 'NITAKURUDISHIA'...! Sina hamu..!!
Hongera mkuu kwa kuliona hili tangu zamani.

Na mimi na-adopt hii approach yako.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nina rafikiangu mmoja tu katika wote huyo hata nimkopeshe laki 5 najua kwamba hiyo hairud na nitampa fresh kwamoyo mmoja ili atatue mambo yake na yeye the some nikiwa siku ninashida na kiasi cha fedha huwa nikimpigia simu ni fasta ananipatia nafkiri kutokana na bond yetu na tulipotokea tumehustle pamoja kimaisha na kufikia ile stage kama ni ndugu wa damu ila nimarafiki sana mbaka tulipofikia mungu nimwema ila wengine wote sikopeshi hatakama hela nnayo sikupi
 
Sasa MTU kama ni rafiki yako kwa nini uone shida asipokurudishia.hivi unajua maana ya urafiki kweli??
Ni kama mke wako unampa kitu useme utarudisha,ninacho jua Mimi MTU akiwa rafiki yako a real friend hata hutahitaji akurudishie kitu.
Tumia kichwa chako kufikiri sawasawa mkuu, vinginevyo hicho kichwa kitakuwa mzigo kwa kiwiliwili chako.

Mtu anakufata anakuomba mwenyewe umkopeshe, maana yake ana uwezo wa kulipa. Kama hawezi kulipa angesema apewe.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom