Mkuu yani ninavyojisikia najua mwenyewe. Hii ni dharau ujue.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787]Haha au mkiwa nyuchi ndo anaanza kukuuliza 'hivi babe utanioa lini?'
[emoji1787] pole.Halafu kinachoniuma ni aina ya pombe anazonunua, sio za kinyonge yani. Na namuona kabisa analipa kila akiagiza round. Warembo wanachekelea tu. Roho inauma kinyama. Ngoja nipige picha.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Angesema right from the start kwamba anaomba msaada sio aseme akopeshwe, ukisema ukopeshwe ina maana una uwezo wa kulipa.Kama hujamsaidia rafiki, ndugu au jamaa hapo kuna ulakini. Urafiki ni shida na raha kwenye shida msaidie mwenzio ijapokuwa ujikubalishe na lolote lile wanasema ushakaji mgumu.
We muache tu [emoji16]Hao wanaopenda pesa za watu bure bure waambieni ipo siku zitawatokea puani.
Watashikishwa "ukuta"
Mkuu unaonekana una huruma sana. Asante.[emoji1787] pole.
Naomba unikopeshe buku tigo pesaKitu ambacho siwezi ni kumkopesha rafiki,,wanione tu mchoyo kwakweli
Pole sana mkuuMkuu yani ninavyojisikia najua mwenyewe. Hii ni dharau ujue.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Aisee!Kuna rafiki yangu nili mkopa baada ya kama mwenzi nikaona niache kumdai, si nikamkuta anabishana na watu mpira amebeti 30 kaishika [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] namimi namdai
Sikua nimemchukia ila sikuile ndo nlimuweka pabaya
Asante😂 ni kitambo nlisha poa
"My g" is just a term that a close friend would call another close friend.Wanaume mnaitaneje My G? , Nini maana yake sasa?
Kwanini usingempokonya mkuu? [emoji23][emoji23]Asante[emoji23] ni kitambo nlisha poa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Hatari sanaView attachment 2675363
Ningekua nime mdharirisha sana maana alivyo kua anabishana kwa kujiamini kama mtu vilee 🤣🤣
Naomba unikopeshe Mimi mkuu [emoji16][emoji16]Amenisaidia kumjua vizuri. Mimi nikikopesha mtu wala sitegemei kurudishiwa. Nikitegemea kurudishiwa siwezi kumkopesha mtu Bongo.
Pesa zenyewe hata dollar 1,000 hazikufika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tunatafuta kwa hali ngumu..
Hivyo inavotokew hali kama hiyo daah unaelewa how mtu ana feel..
Mtu ambaye ni don't care kwa pesa zake basi huyo ana mapesa mengi mnoo....