Kukopeshana kunasababisha tupoteze sana Marafiki

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
5,352
Reaction score
7,668
Wakuu habarini za wakati huu,

Moja kwa moja kwenye mada. Nimegundua kwamba moja ya sababu kubwa inayotufanya tupoteze marafiki zetu ni hii tabia ya kukopeshana. Sasa hivi nimejiwekea msimamo kabisa kwamba sitamkopesha mshkaji kama sina uwezo wa kumsamehe asiponilipa.

Yaani ni afadhali akija kunikopa basi nisimkopeshe bali nimsaidie tu. Kwasababu ukimkopesha ukawa na matarajio kwamba atakulipa halafu asipokulipa basi ni lazima urafiki wenu utaharibika. Lakini ukimkopesha halafu ukajiwekea moyoni kwamba akikulipa sawa, asipokulipa pia sawa, walau unaweza ukaunusuru urafiki wenu ikitokea hajakulipa kwasababu utakuwa umeshajiandaa kisaikolojia.

Leo ni tarehe 01/07 na mshkaji aliniahidi atalipa pesa yangu tarehe 26 mshahara ukitoka ila yupo kimya mpaka sasa, tunakutana, tunapiga story ila anavunga kama hakuna kilichotokea!

Nimekuja kujipumzisha kwenye Bar moja hapa Mikocheni namuona anaagiza tu pombe na ma-slay queen 2, kwasababu hajaniona nikamtext, "wapi mwana?", amejibu hivi, "My G, nipo maghetoni nimejilaza najitafuta, vipi nipe code basi".

Hajui namuona hapa. Halafu hii ni mara ya pili nakutana na scenario za namna hii kwa marafiki 2 tofauti. Anyway, acha iendelee kunyesha tuone panapovuja.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu habarini za wakati huu...

Moja kwa moja kwenye mada. Nimegundua kwamba moja ya sababu kubwa inayotufanya tupoteze marafiki zetu ni hii tabia ya kukopeshana. Sasa hivi nimejiwekea misimamo kabisa kwamba sitamkopesha mshkaji kama sina uwezo wa kumsamehe asiponilipa.

Unaujua mkopo unaoitwa "double decker" wewe? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mpige picha halafu mtumie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kazi za kukopesha achia ma bank na sakosi basi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom