Kukopeshana kunasababisha tupoteze sana Marafiki

Kukopeshana kunasababisha tupoteze sana Marafiki

Ajabu jingine la kukopesha(na) ni kwamba unaweza kua unakoprsha wengine siku ukipata shida ukakosa wa kukukopesha..
Huu ni ukweli mtupu mkuu. Wewe unakopesha wanao ukiamini na wewe ukiwa na shida watakukopesha ila inakuwa the other way round.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
KAMA MARAFIKI MNAZINGUANA HIVI SIPATI PICHA PESA X, CASH X, MKOPO WAKO, BRANCH SIJUI WANAPITIA HALI GANI WANAVYOKOPESHA WATANZANIA
HIVI KWELI WANALIPWA? ILA WANAMOYO SANA
[emoji23]
[emoji3][emoji3]

Mabenki, Saccos na Taasisi za fedha wanalipwa kwasababu mkopaji anaweka collateral. Bila dhamana hali ingekuwa mbaya sana na mabenki yangefilisika.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hela ya kulipa madeni hana ila ya kula bata anayo.
Halafu kinachoniuma ni aina ya pombe anazonunua, sio za kinyonge yani. Na namuona kabisa analipa kila akiagiza round. Warembo wanachekelea tu. Roho inauma kinyama. Ngoja nipige picha.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kama hujamsaidia rafiki, ndugu au jamaa hapo kuna ulakini. Urafiki ni shida na raha kwenye shida msaidie mwenzio ijapokuwa ujikubalishe na lolote lile wanasema ushakaji mgumu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom