Kukopeshana kunasababisha tupoteze sana Marafiki

Kukopeshana kunasababisha tupoteze sana Marafiki

Sasa ni bora mtu aweke bondi tuu. hakuna kingine
[emoji23][emoji23][emoji23] Mtu bora akuombe tuu.

Swala la kukopa anakuja kuchukua kiasi ambacho hata angeomba kumpa inakua changamoto.
hivo kumkopa mtu hakuepukiki labda umnyime tu
Hela zenyewe zinakuwa kubwa kwake lakini kwangu ndogo tu, kwa hivyo naona kama ameuwekea bei urafiki wetu.

Pengine ni shida tu, napotezea tu. Hela ndogo hizi haziniumizi kichwa , ni yeye tu na umasikini wake.
 
Tatizo wengi unakuta anajamaa mtu wanafahamiana kupitia shughuli Fulani au ni co-worker au mfanyabiashara mwenzie anasema ni rafiki.Sasa kati yako ikitokea wameazimana hela anabadilika anakiwa rafiki kumbe ni mfanya biashara mwezie.

Rafiki wa kweli unamjua kila chake,unamjua a.b.c kama akikuomba hela hiyo itakuwa sadaka huta hitaji akurudishie kamwe.
 
Kuna jamaa yanhu n mzee wa zile "nikopeshe kesho kuna dili linatiki nakulipa".
Kipindi cha nyuma ilikua unaeza mkopesha, then anakuja kukulipa bar. Mnalewaa, af mwishon anakwambia, oya ile hela nliokulipa embu nigei tulipie hii bili iliobaki af kesho mchongo unatiki chap nakutoa.
Nkaja kuona ntakuja nimtwange vifuti vya meno ayameze awe anapigia mswaki kwenye kinyero.
So akawa akija kukopa kwa mfano 10, nampa dasi namwambia io usinilipe, we nenda. Baadae akaacha kukopa kabisa.
Naona ulitumia mbinu za wazee waliosomea Cuba kulimaliza tatizo [emoji3]

Ila hawa wanaokulipa bar nao ni tatizo [emoji28]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kama umemkopesha usimdai hawezi kurudisha sababu ni familia anakuchukulia poa
Kweli kabisa.

Ingekuwa ni benki na ameweka collateral lazima angelipa kwasababu benki sio familia yake [emoji3].

Ila kwasababu mimi ni mwana ananichukulia poa tu yani.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Sasa MTU kama ni rafiki yako kwa nini uone shida asipokurudishia.hivi unajua maana ya urafiki kweli??
Ni kama mke wako unampa kitu useme utarudisha,ninacho jua Mimi MTU akiwa rafiki yako a real friend hata hutahitaji akurudishie kitu.
wewe unawapaga hela marafiki zako bure??

mimi naogopa sana hii kitu, unakuta wewe ndo unasaidia tu yeye hajawahi kukusaidia lolote
 
Kweli kabisa.

Ingekuwa ni benki na ameweka collateral lazima angelipa kwasababu benki sio familia yake [emoji3].

Ila kwasababu mimi ni mwana ananichukulia poa tu yani.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Siri ya mafanikio yako usiwaweke ndugu kwenye biashara .
Mpe hela tu ila ajiri watu ambao hauna undugu nao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom