Kukataliwa na wanawake wazuri

Kukataliwa na wanawake wazuri

Heshima kwenu wakuu,

Nimekuwa nikisumbuliwa na kasumba moja ili mbaya sana, maana kila mwanamke mwenye kuweza kutimiza haja zangu kila nikimtongoza lazima anikatae. Kwa mda sasa nimekuwa nikichagua machaguo yasiyo halali yangu na kuishia kuachana maana ninayempenda hanipendi mimi. Sasa najiuliza sijui ndo hii sura yangu iliyo na ukakasi wa kukataliwa ama sijui ni kitu gani.

Naombeni ushauri wenu maana imefikia mda nimechoka sasa, wanawake wanaonipenda mimi kwangu nawaona hawana mvuto kabisa, ila ninaemhitaji/kumpenda ndo kwanza hata salamu tu hataki.

Ni mifukoni kwako kuna ukakasi wa kukosa fedha sio sura kk
 
Hapana Mkuu, sijawahi na sitegemei kama kuna siku nitatumia. Najiona niko vizuri physically appearance.
Kaka kuna msemo wa mjini unasema "ukiwa Bahili hapa mjini wanawake wazuri wote utawaita shemeji"endelea kutegemea your physique utasubiri sana tu!
 
Pole sana,
Usioneshe kumthamini sana demu Mchukulie Poa ndiyo style ya kuwapata
Lakini pia Jiangalie vizuri,
1.Perfume
2.Pesa
3.Mavazi
4.Mashine(Gari)
5.Mtoko wa Maana(Outing)
Asante. No. 5 ndo najipanga ila vingine vyote ninavyo na ninafanya.
 
Wanawake wazur ndio wakoje hao.....??

ok Waiter zungusha tena
Kweli ndg hilo ndilo lilikuwa swali langu mwanamke mzuri ni yupi?maana watu wengi tunachanganya Uzuri na Urembo nahisi mtoa mada anazungumzia warembo zaidi wanao wear expensive perfumes ,mawig ya bei mbaya ,simu kali na makeup nyingi na labda wanadrive!
 
Tongoza kigaidi
Well said wanawake hawana formular wewe silaha yako ni uongo tu ,piga fix uwezavyo Mungu aliwaumba kukubali uongo ,acha ubahili tumia kidogo kwa faida ya baadae always kuwa confident ila angalia first impression ndio ita Determine kama utampata au?
 
Heshima kwenu wakuu,

Nimekuwa nikisumbuliwa na kasumba moja ili mbaya sana, maana kila mwanamke mwenye kuweza kutimiza haja zangu kila nikimtongoza lazima anikatae. Kwa mda sasa nimekuwa nikichagua machaguo yasiyo halali yangu na kuishia kuachana maana ninayempenda hanipendi mimi. Sasa najiuliza sijui ndo hii sura yangu iliyo na ukakasi wa kukataliwa ama sijui ni kitu gani.

Naombeni ushauri wenu maana imefikia mda nimechoka sasa, wanawake wanaonipenda mimi kwangu nawaona hawana mvuto kabisa, ila ninaemhitaji/kumpenda ndo kwanza hata salamu tu hataki.
Pole sana. Kwanza usiwashobokee. Siku zote tunapenda vitu ambavyo hatuwezi kupata kiurahisi. Sasa wewe ukianda na speed 360 lazima ucrash tu. The thing is piga eye contact ya maana wakati unaongea nae. But don't be creepy. Mchekese, nothing serious then chukua number and sepa. Text her the next day and move on.

Pili, badilisha swag, kama ni hairstyle badilisha, nguo piga ambazo zinafit. Its 2016 fata fashion. Smell nice, this is what most girls like.

Tatu, usisumbuke nao kama mthihani wa taifa. There is a lot of fish in the sea.

-callmeGhost
 
Aisee... nimefurahia ujumbe wako, asante.
 
Heshima kwenu wakuu,

Nimekuwa nikisumbuliwa na kasumba moja ili mbaya sana, maana kila mwanamke mwenye kuweza kutimiza haja zangu kila nikimtongoza lazima anikatae. Kwa mda sasa nimekuwa nikichagua machaguo yasiyo halali yangu na kuishia kuachana maana ninayempenda hanipendi mimi. Sasa najiuliza sijui ndo hii sura yangu iliyo na ukakasi wa kukataliwa ama sijui ni kitu gani.

Naombeni ushauri wenu maana imefikia mda nimechoka sasa, wanawake wanaonipenda mimi kwangu nawaona hawana mvuto kabisa, ila ninaemhitaji/kumpenda ndo kwanza hata salamu tu hataki.
Mwaga pesa kaka watakufuata wenyewe
 
Kaka kuna msemo wa mjini unasema "ukiwa Bahili hapa mjini wanawake wazuri wote utawaita shemeji"endelea kutegemea your physique utasubiri sana tu!
Lakini kumbuka wengi tu nawagonga kwa physical yangu.
 
Always always hata mke wako au girlfriend wako ni mzuri saa zingine usije kujaribu kumsifia au kumuoyesha unampenda au unamjali kivile ofcoz mara moja moja sio mbaya ila sio muda wote la sivyo itaku cost vibaya sanaa mwanamke siku zote ni kumjali na saa zingine unampotezea tu ukimpa attention sanaa atakuzingua
 
Back
Top Bottom